Tawi la CHADEMA Uingereza

palalisote

JF-Expert Member
Aug 4, 2010
8,335
1,455
Napenda kujua kama kuna tawi la chadema uingereza na kama lipo nipate mawasiliano.
 
Hawa ndio Makamanda wa Chadema Marekani wanacheza viduku...kuna mmoja mwanaume kavaa hereni..

Tunamshambulia bure baharia Will..kumbe wengi wakifika Marekani wanakuwa watumwa wa kiakili.

Ritz ushapiga cha Arusha nini ?mi nimetafuta hereni sioni hebu tujuze.
 
Huu mtandao wa kuwa na matawi mpaka Uingereza tusipokuwa makini tunaweza kujikuta tumerudi kwenye ukoloni!
 
WAcha woga kamanda, mbona tayari wewe hupo kwa wakoloni,unatumia maji yao,vyo vyao,madarasa yao,vyakula vyao,hewa yao,nguo zao,marafiki wao,walimu wao,na kila kitu chao hadi pesa unayotumia huko! Na pengine ukimaliza masomo usirudi huku kwani takuwa umenogewa na wakoloni. Pia kumbuka kuna watu wanaitwa mablozi wa nchi, mfano tanzania tangu ukolonin ilikuwa na mabalozi huko uingereza ambao yawezekana nawe ulikwenda kujitambulisha kwao,ishu si tawi ishu ni namna gani unajipambanua na kukabiliana na changamoto mbalimbali! Tanzama, TAnzania ni Tanganyika na Zanzibar,tazama EAST AFRICAN COMMUNITY,TANZAMA AFRICAN UNION,TAZAMA UNITED NATION VYOTE HIVYO NI MUUNGANIKO WA WATU AU MATAIFA KUTOKA SEHEMU TOFAUTI SEMBUSE TAWI LA NNJE YA NCHINJAMANI! RUDI USOME TANZANIA
 
Mkuu hebu angalia profile yangu ujue location yangu
 
Back
Top Bottom