Kigogo CCM na kashfa ya UTAPELI, ahaha kujisafisha

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
733
attachment.php


SOURCE: Mwananchi, 5 January 2012 na pia kwenye The Guardians toleo la 02 Jan 2012

Ni KIGOGO wa UVCCM mkoa wa Pwani
Aliwahi kugombea ubunge tiketi ya CCM pwani 20120 akatoswa kwenye kura ya maoni...
Ametapeli hela za hiyo kampuni na kesi yake iko mahakamani

Kwa sasa viongozi wa juu wa UVCCM, usalama wa taifa na yeye mwenyewe wanahaha kumsafisha kwani yumo kwenye shortlist ya mkulu kuteuliwa kuwa mkuu wa Wilaya

My take
: Hii ndio aina ya viongozi tunaowaandaa waje kuwa mawaziri kwa utapeli huu akiwa kiongozi wa juu hata kidogo tulichonacho kitapona kweli? JK tuonee huturuma waTanzania kwa miiaka minne iliyobaki kwa mwendo huu
ukiimaliza tutakuwa wapi.

NAWAKILISHA.....................
 

Attachments

  • ABdallah_Hamisi_UVCC.jpg
    ABdallah_Hamisi_UVCC.jpg
    312.3 KB · Views: 5,094
Ni malipo ya JK kwa tamko la UVCCM lililotolewa Pwani kuwaponda akina Sumaye, na ya kwamba JK anajua nani atamrithi nk
 
huu ni uzushi hebu jamani angalieni mwaka aliogombea ubunge,jamaa anatudanganya huyu,wamenyang'anyana wanawake mitaani huko anakuja kumaliza hasira zake hapa
 
I expected nothing less from CCM leaders. Hata mwenyekiti wao wa Taifa alishakiri hadharani kwa kusema "Tukianza kusemana NANI ATAPONA"?
 
Nasikitika kuongozwa na M/Kiti mwizi, nasikitika kuona mwizi ana njozi ya kuwa mbunge wa jimbo langu, ardhi yangu teule kule walipo lala wazee wangu. Siku atakayotangaza nia mie nitatangaza kwa chama kingine kushindana nae, kulinda hadhi na heshima ya kwetu
 
Nasikitika kuongozwa na M/Kiti mwizi, nasikitika kuona mwizi ana njozi ya kuwa mbunge wa jimbo langu, ardhi yangu teule kule walipo lala wazee wangu. Siku atakayotangaza nia mie nitatangaza kwa chama kingine kushindana nae, kulinda hadhi na heshima ya kwetu
Wengi wa viongozi tulionao leo ndio wa aina hii hii wezi watupu
 
Ni kweli lakini tusome kwa makini hilo tangazo kabla ya kuchangia na kama lugha iliyotumika ni haieleweki ni bora ukauliza kabla ya kukurupuka.
 
Rais wetu ni mtu makini na kimsingi hawezi kuongozwa kwa kufanya maamuzi kwa kufuata hoja ambazo hazina msingi,zaidi ya kujaa fitna na uchonganishi.
 
rais wetu ni mtu makini na kimsingi hawezi kuongozwa kwa kufanya maamuzi kwa kufuata hoja ambazo hazina msingi,zaidi ya kujaa fitna na uchonganishi.
kama huyu naye ni mtu makini,akina nyerere jk, mandela n,nkruma watakuwa nani? Acha kujikomba .
 
Back
Top Bottom