Kama Mbowe alivyobanwa na bunge huyu naye asiachwe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kama Mbowe alivyobanwa na bunge huyu naye asiachwe

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Habarindiyohiyo, Jun 7, 2012.

 1. H

  Habarindiyohiyo JF-Expert Member

  #1
  Jun 7, 2012
  Joined: Aug 11, 2008
  Messages: 263
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mbunge wa Hai aliwahi kushtakiwa kwenye kamati ya kinga na madaraka ya bunge kwa kauli ya dharau kwa wabunge kuwa bunge ni mchezo wa kuigiza. Sasa kwanini kamati hiyo iachie habari hii kama hii: Mnyika: Bunge limetekwa na mafisadi bila kuchukua hatua kulinda heshima ya bunge?

  ...ndiyohiyo
   
 2. democratic

  democratic JF-Expert Member

  #2
  Jun 7, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 1,644
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  tuonyeshe hiyo hansard ya mbunge wa hai,la sivyo wape pole magamba woteeee
   
 3. m

  manucho JF-Expert Member

  #3
  Jun 7, 2012
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 3,410
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Sikuelewi halafu hueleweki
   
 4. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #4
  Jun 7, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Upumbavu kamu huu ni wito aisee
   
 5. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #5
  Jun 7, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  inategemea ameongelea wapi?
  kama bar mwite mhudumu amwongeze moja.
   
 6. m

  manucho JF-Expert Member

  #6
  Jun 7, 2012
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 3,410
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Sikuelewi halafu hueleweki
   
 7. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #7
  Jun 7, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Ulevi nomaaaa.
   
 8. P

  Pilitoni JF-Expert Member

  #8
  Jun 7, 2012
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 1,000
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 160
  matusi ya nini?
   
 9. Kasimba G

  Kasimba G JF-Expert Member

  #9
  Jun 7, 2012
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,568
  Likes Received: 568
  Trophy Points: 280
  Wewe ni kati ya mizigo mikuubwa kwa taifa letu hili, tukifanikiwa kuituwa tutakuwa tumepata ukombozi wa kweli!
   
 10. M

  Mwanandani Senior Member

  #10
  Jun 7, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 197
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wekilaza umetokawapi?mtu akiongea ukweli pia ashtakiwe kwenye kamati ya nizamu?acha upumbavu we gamba.kukurupuka kubaya.
   
Loading...