Kikwete alikataa wimbo teule wa EAC kwa kudai ni wa "kikristo mno"

afroPianist

Member
Nov 3, 2010
86
21
Tanzania's Jakaya Kikwete refused the proposed East African Community anthem saying the song was "too christian".

While other EAC heads of state had no qualms on the tune, Museveni had also refused the song on the grounds that it was "too soft".He said he was a revolutionary and that the regional anthem should take cognisance of the wave of "democratic revolution" sweeping Africa, therefore the beat must be "powerful".

Source: The East African, December 27th 2010
 
I'm trying to contemplate the angles from which the two presidents abhored the song, while Museveni was sensitive on the musical expression & sensibilities of the song Kikwete had to pull the religious card again! It would have been more meaningful in my opinion, for him to suggest a more traditional or african feel to the song (i know what i'm talking about, afropianist, ring a bell?)rather than for him to speculate religiousity all the time, which makes me warry that he might be exporting his half-coocked product &philosophy of religious exclusion to the East African region!
 
Give us the text..........
 
Kikwete is most vigourously seeking to sneaking his extremist religious tendencies to the Great Lakes region through the backdoors.

In fact, in a nutshell, his excellency pathetically sees almost every other thing in the world through a religious sun-glasses, breathes religion, and employs religion.

Yes, this is no kidding here that even if it comes to signing a contract on behalf of the nation the gentleman unpreventably does so in the prisms of religious considerations and leanings, and more so he rides on a religious segregation chariot to his grand dreams in life.
 
Hivi wataalamu wa tiba ya akili wako wapi jamani?mkulu wetu ameshakuwa teja wa hii kitu udini.Nahisi hawezi kutafakari jambo lolote bila kuhusisha udini,msaidieni jamani tunampoteza ndugu yetu.
 
mimi naamini yupo sawa tu. haiwezekani nyimbo iimbwe kanisani halafu iwe ndio nyimbo ya taifa, haya makosa makubwa kuyaacha, taaleta vurgu kubwa baadae
 
Tusitafute tiba ya udini,JK ndo chanzo. Amerogwa.
tanzania ilivyo hivi: nyerere mkombozi, mwinyi mdini. mkapa mkombozi, jk mdini. John mkombozi, abrahaman mdini, jOSEPH mkombozi. Amour mdini, Samwel Mkombozi, Juma mdini, Lilian Mkombozi, Asha mdini. ndugasa mkombozi , Abubakar mdini taifa linaelekea wapi?
 
Hata ukiremba vipi, ukweli ni ukweli tu, JK ni mdini na Mwinyi mdini pia. Full stop
 
I'm trying to contemplate the angles from which the two presidents abhored the song, while Museveni was sensitive on the musical expression & sensibilities of the song Kikwete had to pull the religious card again! It would have been more meaningful in my opinion, for him to suggest a more traditional or african feel to the song (i know what i'm talking about, afropianist, ring a bell?)rather than for him to speculate religiousity all the time, which makes me warry that he might be exporting his half-coocked product &philosophy of religious exclusion to the East African region!

Respectful Wana-JF, it is unfortunately not known to many that some very little things that are often found fond of easily being neglected do happen to carry a most deafening hill of a message that roundly defines that other's whole perspectives, perception and state of mind in the entire fabrics of life.

Think about that tha more are privately start reflecting about some of your very well known friends or foes around and from now on you'd never get it wrong with each of the souls any day.
 
Tupe ushahidi wa Kikwete kuukataa wimbo huo. Kama ni kweli aliukataa kwa sababu umekaa kidini zaidi sio kosa kwa sababu wimbo huo unawakilisha watu wa dini zote pamoja na wasio na dini. Rais alikuwa anasimamia umoja na mshikamano wa taifa letu.
 
chukulia tu wimbo huo ungekuwa na maudhui ya nyimbo za 'kaswida' za dini ya kiislamu bado jambo hilo lisingekubalika kwamba wimbo huo unawakilisha jamii nzima ya watanzania.
 
Hata ukiremba vipi, ukweli ni ukweli tu, JK ni mdini na Mwinyi mdini pia. Full stop

usiseme full stop. endelea. mh mkapa juu ya kuwa waislam na wapemba anaitwa mkombozi? jk anaitwa mdini kwa kuwa hajawahi kuua , akiuwa waislam ataitwa mkombozi?
 
Poor me, he would have searched for a better reason to reject the song
 
JF imevamiwa na waislamu wenye siasa kali na walokore wa dini ya kikiristo wenye msimamo mkali wa kidini. Wanaharibu jukwaa letu kwa kutazama kila jambo kwa malengo ya kidini bila hata kufikiri zaidi ya hapo.

Kama ningekuwa mods ningewafukuza wote hapa ili tubaki na watanzania halisi.
 
usiseme full stop. endelea. mh mkapa juu ya kuwa waislam na wapemba anaitwa mkombozi? jk anaitwa mdini kwa kuwa hajawahi kuua , akiuwa waislam ataitwa mkombozi?

Think THRICE about your humble assertion in that area, the list could be too long for you to comprehend.
 
Tanzania's Jakaya Kikwete refused the proposed East African Community anthem saying the song was "too christian".

While other EAC heads of state had no qualms on the tune, Museveni had also refused the song on the grounds that it was "too soft".He said he was a revolutionary and that the regional anthem should take cognisance of the wave of "democratic revolution" sweeping Africa, therefore the beat must be "powerful".

Source: The East African, December 27th 2010
Uwekeni huo wimbo ili kila mtu aone aliyekubali na aliyeukataa alikuwa sawa au la......lakini kuanza kuujadiri wimbo sijawahi kuusikia au kuona maneno yake sioni kama ni sawa
 
Mimi nafikiri kama kweli wimbo huo una maudhui ya kidini ni kwa sababu ya kuruhusu kwaya za dini kuingia katika mchakato wa kutafuta wimbo bora wa nchi zinazounda Jumuiya ya Afrika mashariki, mojawapo ya kwaya hizo ni kwaya ya Uinjilisiti ya kanisa la Kiinjili la Lutheran (KKKT) usharika wa kijitonyama, Dar es salaam.

Hili sio kosa la wakristo wote bali la kamati maalum ya kuandaa wimbo huo ambayo haikuzingatia mapokea ya makundi mengine yenye imani tofauti. Rais kikwete kama msimamizi wa watanzania wote ana timu yake ya kumshauri pengine waliliona jambo hilo na kulitolea mapendekezo/ angalizo.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom