Ridhiwani Kikwete Kuchunguzwa Na TAKUKURU Mpaka Aruhusu? Gazeti Jambo Leo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ridhiwani Kikwete Kuchunguzwa Na TAKUKURU Mpaka Aruhusu? Gazeti Jambo Leo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Plato, Jun 7, 2012.

 1. Plato

  Plato JF-Expert Member

  #1
  Jun 7, 2012
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 421
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 33
  SAM_2288.JPG

  Wakuu nimeikuta hii kule Mjengwablog, eti Ridhiwani amebariki usalama wa taifa na TAKUKURU wamchunguze.

  Swali ni kuwa kumbe huyu asipotaka kuchunguzwa haiwezekani kwani ni mpaka atoe ruhusa?
  Kwa picha zaidi za magazeti ya leo mnaweza kwenda www.mjengwablog.com
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  Jun 7, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,435
  Likes Received: 19,787
  Trophy Points: 280
  Mwizi anawaalika polisi waje wamsachi then wakimkkamata na kitu wampeleke jela..wapi na wapi ..hio Takururu yenyewe takururu? mwambieni angoje hadi 2016 ndio aongee hivi vijimaneno
   
 3. Gwandalized

  Gwandalized JF-Expert Member

  #3
  Jun 7, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 222
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Story nyingi ni maneno ya vijiweni, mara ana hili mara hili,watu wakikuona unaingia sehemu basi kitega uchumi chako,watanzania tunaishi kwa dhana tu.
   
 4. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #4
  Jun 7, 2012
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Ukiona hivyo anaomba kwenda 'kusafishwa'.
   
 5. Mwalimu

  Mwalimu JF-Expert Member

  #5
  Jun 7, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 1,475
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Lazima atakimbia mji....
   
 6. Omonto wa-hene

  Omonto wa-hene Senior Member

  #6
  Jun 7, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 179
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Nawashanga Watanzania mnaolalama. Mwaka 2010 wakati Riz1 alipokuwa anazungusha fomu za babaake kusaka saini za wanaChama Cha Magamba kumridhia kuwa mgombea wa Urais kupitia Chama hicho, kulizuka kioja. Baba mtu aliposailiwa inakuwaje 'mtoto' huyo ateke jukumu la chama wakati wako watendaji kibao ndani ya chama na ambao huo ni wajibu wao wa msingi? Unajua 'baba' alisemaje! Alijibu: (nami namnukuu), ''Suala la kugombea urais ni la kwangu mie. Kwani kuna ubaya gani kumwamini mwanangu mpendwa kunitafutia saini za udhamini?'' (mwisho wa kunukuu). Ikiwa urais ni 'ishu' ya familia ya JK, sasa ninyi mnashangaa nini Riz1 kuwaruhusu (tena ataelekeza namna ya kuchunguzwa) TAKUKURU kumfanyia uchunguzi. Au mmekwishasahu kwamba yeye ni sehemu ya utatu mtakatifu wa Ikulu yetu? Teh! Teh! Teh! Ninyi mlie tu na wivu wenu wa kike!! (TAMWA kunradhi)
   
 7. Crucial Man

  Crucial Man JF-Expert Member

  #7
  Jun 7, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 3,277
  Likes Received: 470
  Trophy Points: 180
  mkuu omoto umenikata maini,nashindwa hata kucoment.
   
 8. Japhari Shabani (RIP)

  Japhari Shabani (RIP) R I P

  #8
  Jun 7, 2012
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 721
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  kwanini sasa wakati kauli hizi kuhusu shuguli zake zimekua zikipigiwa kelele inaonekana amekamilisha kuficha nyaraka muhimu na kuandikisha makampuni yake kwa majina ya watu wengine and then anasema njooni mnikague kichekesho na usanii wa ccm!
   
 9. B

  Bobuk JF-Expert Member

  #9
  Jun 7, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 5,876
  Likes Received: 481
  Trophy Points: 180
  Hivi ile kesi aliyosema atamfungulia Dr. Slaa kwa kumuita fisadi imefikia wapi?

  Lakini hii nayo ni kali? Kikwete ambaye hataki watuhumia wa ufisadi mkubwa washitakia (ref Hosea and WIKILeaks). Leo hii anabariki TAKUKURU imuchunguze? (Rz1 and JK ni kitu kimoja).
   
 10. lm317

  lm317 JF-Expert Member

  #10
  Jun 7, 2012
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 452
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hivi lile tishio lake la kuwashitaki wanaomchafua liliishia wapi?
   
 11. K

  Kassim Awadh JF-Expert Member

  #11
  Jun 7, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 887
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  ni vioja tu,,inaleta maudhi na kuamsha hasira
   
 12. kilamfua

  kilamfua Senior Member

  #12
  Jun 7, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 162
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 45
  huyu riz kaishawahonga takukuru na sasa anajitia kuwaita shame on you!!!
   
 13. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #13
  Jun 7, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  anataka kuuza magazeti tu huyu dogo hana lolote..
   
 14. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #14
  Jun 7, 2012
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,727
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Takukuru ya Hosea wa JK au nyingine. Mwizi anaomba kukamatwa, hii kali!!!
   
 15. naninibaraka

  naninibaraka JF-Expert Member

  #15
  Jun 7, 2012
  Joined: Oct 13, 2011
  Messages: 658
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 60
  Asilete usanii wa mjini,kuna ushahidi wa kutosha kabisa namna namna wanavyovuja hela za umma,asubir baba yake aachie madaraka waandamwe na kashfa,ni bora uendelee kuiba ukakaa kimya kuliko kuamsha hasira zetu,hayo yote anayokanusha ni ya kweli
   
 16. M

  MTK JF-Expert Member

  #16
  Jun 7, 2012
  Joined: Apr 19, 2012
  Messages: 6,960
  Likes Received: 2,837
  Trophy Points: 280
  Impunity will never last forever; kama unabisha fuatilia yaliyowakuta hawa hapa! Karim Abdoulaye Wade (Senegal), Gamal na Alaa Hosni Mubarak (Misri), Uhuru Jomo Kenyatta (Kenya), Peter Bingu Wa Mutharika (Malawi), Teodor obiang Nguema (Equatorial Guinea); just to mention a few! leo anatesa; he calls the shots, lakini maisha yako dynamic hayasimami, yakija mabadiliko ambayo lazima yaje tu apende asipende he will be held to account.
   
 17. TaiJike

  TaiJike JF-Expert Member

  #17
  Jun 7, 2012
  Joined: Dec 14, 2011
  Messages: 1,475
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  Toka lini mtu agaoga na nguo? Takukuru hawa hawa? waache kuchezea watanzania.
   
 18. Sniper

  Sniper JF-Expert Member

  #18
  Jun 7, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,944
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Hao Takukuru, UWT hamna kitu wameoza wote. Usalama wa Taifa watuambie zile milioni 600 walizomkamata nazo Maige kwenye briefcase hotelini Arusha, akadai nusu ni za Mkuu wa Kaya, ilikuwaje baada ya hapo?
  Naskia RO alimhamisha kitengo mkuu wa Idara aliyeidhinisha hiyo operesheni, sasa ndo hawa UWT mnaotaka kutuaminisha waende kwa Riz1?
  PPCB, UWT nobody trus you anymore, mnaishia kuwakamata wabunge ambao hawako kwenye "mtandao" kwa virushwa vya milioni 1. :angry:
   
 19. O

  OgwaluMapesa JF-Expert Member

  #19
  Jun 7, 2012
  Joined: May 24, 2008
  Messages: 10,948
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  hatutaki abariki cha msingi asubiri 2015 hapo ndipo atakiona cha moto na ndipo atakapojua kuwa kuku hakojoi.
   
 20. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #20
  Jun 7, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 12,000
  Likes Received: 2,655
  Trophy Points: 280
  Na hili litapita.
   
Loading...