Tanzania Daima, Nipashe kupandishwa kizimbani - Annur | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania Daima, Nipashe kupandishwa kizimbani - Annur

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Malaria Sugu, Jun 6, 2012.

 1. Malaria Sugu

  Malaria Sugu JF-Expert Member

  #1
  Jun 6, 2012
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 2,653
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuna habari katika Annur ya jana, inayosema kwamba magazeti ya Tanzania Daima na Nipashe yatapandishwa kizimbani kwa uchochezi
  Hii ni kutokana kutoa picha ya tukio la Morogoro la Ustadh Juma na kudai ni tukio la Zanzibar.

  lakini ustadh huyo alipoomba ufafanuzi kwa Muhariri wa Nipashe anadai alitukanwa matusi ya nguoni na Muhahariri huyo jambo ambalo amedai linaonyesha UDINI WA WAZIWAZI WALIONAO BAADHI YA WAHARIRI WA MAGAZETI NCHINI na amesema anaandaa mashataka dhidi ya magazeti hayo iwe funzo kwa wahahariri wengine wenye kutothamini imani za wengine.
   
 2. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #2
  Jun 6, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,172
  Likes Received: 4,505
  Trophy Points: 280
  Safi sana haya magazeti ni hatari sana kwa mustakabali wa taifa letu...
   
 3. B

  BORGIAS Senior Member

  #3
  Jun 6, 2012
  Joined: Jun 3, 2012
  Messages: 118
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Annur siku hizi ni daily paper au?
   
 4. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #4
  Jun 6, 2012
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 5,617
  Likes Received: 1,109
  Trophy Points: 280
  Ningekuwa mimi ningelicharaza makofi.:angry::angry:
   
 5. Malaria Sugu

  Malaria Sugu JF-Expert Member

  #5
  Jun 6, 2012
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 2,653
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  njia pekee ni kutumia mahakama kupata haki yake. inawezkana ikawa fundisho kubwa
   
 6. m

  mabhuimerafulu Member

  #6
  Jun 6, 2012
  Joined: May 29, 2012
  Messages: 89
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Sawa, kawashtaki kama una ushahidi. Tutaonana hukohuko mahakamani, wewe ukiwa na UAMSHO sisi tukiwa na UFUNUO.
  Lakini kare karedio ketu ka Redio IMANI pare Morogoro nako kamewahi kushtakiwa ama ndo mashtaka yake yanaandaliwa?
   
 7. Malaria Sugu

  Malaria Sugu JF-Expert Member

  #7
  Jun 6, 2012
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 2,653
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwanini wahariri wanapokosea wanaporomosha matusi? hivi haya ndio madili ya uandishi?
   
 8. t

  tara Senior Member

  #8
  Jun 6, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 190
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Gazeti la Sauti ya uhuru je?
   
 9. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #9
  Jun 6, 2012
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 10,351
  Likes Received: 1,299
  Trophy Points: 280
  safi sana ......
   
 10. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #10
  Jun 6, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 29,455
  Likes Received: 9,835
  Trophy Points: 280
  Usiangalie nyuma, yai bovu linapita

  [​IMG]
   
 11. m

  mamajack JF-Expert Member

  #11
  Jun 6, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 1,163
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  juzi wasirani nae alikuwa analia na mwananchi!!!
   
 12. mathematics

  mathematics JF-Expert Member

  #12
  Jun 6, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 3,248
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  AL NNUR wanaandika habari nyingi sana za uchochezi, je wao hakuna wa kuwapeleka mahakamani..??!!
   
 13. Malaria Sugu

  Malaria Sugu JF-Expert Member

  #13
  Jun 6, 2012
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 2,653
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tatizo wao wamechakachua picha. muhusika alipomba ufafanuzi. kaangushiwa matusi ya nguoni na Muhariri MBASHA ASENGE
   
 14. Ernesto Che

  Ernesto Che JF-Expert Member

  #14
  Jun 6, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,117
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  ANNUR NI GAZETI! Khaaa linaandika nini? mbona sijawahi liona au hoja yao ndio ileile ya "Uislamu" hao mashehe wanataka wanyenyekewe kwa lipi hasa ufahamu wao mdogo si wote wapuuzi kama wao waende huko kwa wapuuzi wenzao sie tunataka hoja zenye mashiko sio udini wa kipuuzi
   
 15. Malaria Sugu

  Malaria Sugu JF-Expert Member

  #15
  Jun 6, 2012
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 2,653
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  acha matusi wewe. Akitukanwa askofu utafurahi?
   
 16. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #16
  Jun 6, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,782
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Tanzania Daima na Nipashe have a lot in common: Yanamilikiwa na Wachagga, Yana Pro-christian agenda, pia ni propaganda tool ya CHADEMA!
   
 17. Malaria Sugu

  Malaria Sugu JF-Expert Member

  #17
  Jun 6, 2012
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 2,653
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  acha jazba mkuu. mimi kilichonishtua muhariri kumtukana mlalamikaji
   
 18. M

  Mzee Kijana JF-Expert Member

  #18
  Jun 6, 2012
  Joined: Nov 25, 2011
  Messages: 427
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 60
  Wenzako wote wanajua kuwa hawana hoja za kuishtaki Redio Imani kwani wataumbuka huko mahakamani kwani ukweli utadhihiri. Kama unabisha we waambie wafungue mashtaka. Wenzako wanajua kuwa RI ina ushahidi madhubuti wa kila inachokisema na wanachofanya serikali ni kufunika kombe mwanaharamu apite.
   
 19. Malaria Sugu

  Malaria Sugu JF-Expert Member

  #19
  Jun 6, 2012
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 2,653
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kaka ndio MBASHA ASENGA NINI?
   
 20. M

  Mzee Kijana JF-Expert Member

  #20
  Jun 6, 2012
  Joined: Nov 25, 2011
  Messages: 427
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 60
  Nchi hii haina waandishi ndo maana unaona madudu kila siku. Watu wanaweka mbele hisia zao badala ya ukweli matokeo yake hata mtoto mdogo anatambua upuuzi wanaoandika. Safi sana Sheikh waburuze mahakamani ili wakome kuandika uzushi na upotoshaji.
   
Loading...