Serikali na imani za kishirikina iringa. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Serikali na imani za kishirikina iringa.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by WISTON MWINUKA, Jun 7, 2012.

 1. WISTON MWINUKA

  WISTON MWINUKA Member

  #1
  Jun 7, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 82
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Kumekuwepo na hali ya sintofahamu hapa mkoani Iringa katika wilaya ya Iringa vijijini eneo la kijiji cha MGAMA,ambapo wananchi na walimu wa eneo hilo wamekuwa katika hali ngumu inayohusiana na Imani za kishirikina,Kwa wiki kadhaa sasa Shule ya msingi mgama imekumbwa na tukio la ajabu na walimu kuamua kuacha kufundisha wanafunzi kwa sababu yamekuwa yakirushwa mawe shuleni hapo na hayajulikani yanatokea wapi,hata pale wanakijiji walipoamua kuizingira shule ilikubaini wameshindwa.Viongozi kadhaa akiwemo Mkurugenzi wa mkoa wameamua kulitafutia ufumbuzi suala hili,Je!suala hili litatatuliwa kiimani au kiserikali?...Hebu tusubiri nitawajuza wadau. SOURCE:EBONY FM.
   
Loading...