Viongozi: sifa haziji kwa staili hii...

Viongozi: sifa haziji kwa staili hii...

YanguHaki

Senior Member
Joined
Oct 11, 2010
Posts
129
Reaction score
9
Kumekuwa na wimbi la mawaziri na viongozi wa taasisi mbali mbali nchini kufanya maamuzi ya kukurupuka kwa lengo la kutaka kujipatia umaarufu na kujihakikishia nafasi za uongozi. Kila tasisi na wizara utasikia huyu na yule kasimamishwa kazi bila hata taaratibu za kazi kufuatwa. Jamani utawala bora gani huu ambao hauheshimu natural justice. Mwishowe kwa wote wanaohusika ni kuumbuka au kuitia nchi hasara kwa kutofuatwa kwa sheria.
Wito wangu kwa viongozi nawaomba mfuate sheria tu. Sio kukupuruka na kwenda kwenye press kutangaza majina ya watu waliosimamishwa kazi.
 
Back
Top Bottom