Huyo mbunge wa CHADEMA Mwanza, aliyetaka kuhongwa ni nani?

Masakata

JF-Expert Member
Jan 2, 2011
374
137
Wadau,

Gazeti la leo la Tanzania Daima,8/1/2012,limemkariri Dr.Slaa akisema kwamba chama cha Magamba kilitaka kumuhonga mmoja ya wabunge wa CDM mkoa wa Mwanza milion 323/=Tsh ili akihame chama hicho,..bahati mbaya gazeti wamelifadhi jina la Mbunge huyo(nadhani kwa ajili ya kulinda maadili ya taaluma ya uandishi)..

Sasa kwa kuwa motto wetu ni ,''Where we dare to talk openly'',naomba atajwe kwa faida yake,chama,wanachama na nchi kwa ujumla..maana akitajwa anaweza kuja ulezea umma issue ilivyokuwa
Nawasilisha.
 
Ezekiah dibogo wenje-cdm nyamagana kwani ndo muhimili wa mwanza na ukishamng'oa huyu ilemela hakuna kitu,na kama ujuavyo highness alipita kwa mgongo wa wenje.
 
Kwani wewe hujui jimbo gani mwanza lilimfanya hadi mkuu akasafiri kwenda mwanza usiku kutaka kuliokoa? Na si pesa tu, na gari -vx inasemekana alitaka kupewa kama angekubali kwamba ameshindwa.
 
Kwani wewe hujui jimbo gani mwanza lilimfanya hadi mkuu akasafiri kwenda mwanza usiku kutaka kuliokoa? Na si pesa tu, na gari -vx inasemekana alitaka kupewa kama angekubali kwamba ameshindwa.
Ila mkuu,mbona issue yenyewe inaonekana ni ya hivi karibuni,nadhani kwenye hii kampeni ya magamba kununu wapinzani,..ila nashukuru kwa ufafanuzi
 
Issue ilkuwa octoba 2010 wkt wa uchaguzi Mkuu na si leo ndugu yangu kama unavyofikiria. Huo ndiyo ukweli. Chadema hawakutaka tu kuisema lkn ilikuwa ni kipindi kile cha Uchaguzi Mkuu 2010.
 
Issue ilkuwa octoba 2010 wkt wa uchaguzi Mkuu na si leo ndugu yangu kama unavyofikiria. Huo ndiyo ukweli. Chadema hawakutaka tu kuisema lkn ilikuwa ni kipindi kile cha Uchaguzi Mkuu 2010.

ni kweli hi ilitokea kipindi kile cha uchaguzi, mbona ilifahamika na hat yeye wenje alishaongelea
 
ni kweli hi ilitokea kipindi kile cha uchaguzi, mbona ilifahamika na hat yeye wenje alishaongelea

Hapana mkuu gazeti limemnukuu dr.slaa kuwa huyo mbunge ilikuwa leo ndo atangaze kujivua uanachama ndo takukuru wakawashtua viongozi wa cdm na wenyewe wakavuruga mpango.
 
ni kweli hi ilitokea kipindi kile cha uchaguzi, mbona ilifahamika na hat yeye wenje alishaongelea

Mbona kwenye hili gazeti ie tanzania daima la leo Dr. Slaa anasema wamepata taarifa za kurubuniwa huyo mbunge kutoka TAKUKURU siku tatu zilizopita?
 
Kwa Mwanza ilivyo sasa hata wanunue mbunge aliyepo uchaguzi ukija hata CDM wakisimamisha jiwe na CCM wamsimamishe mbunge waliyemnunua wananchi wa Mwanza watachagua jiwe. Magamba watu wameyachoka kabisa na hata wakati wa uchaguzi kura za chuki ndio zilitawala na sio uzuri au ubora wa wagombea. Na kura zikalindwa kwa nguvu zote. CCM waende kujiimarisha hukoooo Lindi na Mtwara kwa sasa Mwanza imeishawakimbia
 
... gazeti wamelifadhi jina la Mbunge huyo(nadhani kwa ajili ya kulinda maadili ya taaluma ya uandishi)...
Kama ni kweli imeripotiwa hivyo basi Dr. Slaa mzushi, gazeti jongo na wewe mdaku.

Toka lini kuficha jina la mtu anaedaiwa kutaka kuhongwa ikawa ni "kulinda maadili ya taaluma ya uandishi"?

Toka lini Dr. Slaa ambae amejipambanua kwa kufichua mafisadi papa akashindwa kutaja jina la mbunge wao aliyekataa hongo?

Toka lini vigazeti feki feki hivi vya kibongo vikaandika kitu cha maana?

Hakuna taaluma mbovu nchini kama uandishi wa habari.
 
Wadau,
Gazeti la leo la Tanzania Daima,8/1/2012,limemkariri Dr.Slaa akisema kwamba chama cha Magamba kilitaka kumuhonga mmoja ya wabunge wa CDM mkoa wa Mwanza milion 323/=Tsh ili akihame chama hicho,..bahati mbaya gazeti wamelifadhi jina la Mbunge huyo(nadhani kwa ajili ya kulinda maadili ya taaluma ya uandishi)..Sasa kwa kuwa motto wetu ni ,''Where we dare to talk openly'',naomba atajwe kwa faida yake,chama,wanachama na nchi kwa ujumla..maana akitajwa anaweza kuja ulezea umma issue ilivyokuwa
Nawasilisha.

MAPOROJO! lol
 
Kama ni kweli imeripotiwa hivyo basi Dr. Slaa mzushi, gazeti jongo na wewe mdaku.

Toka lini kuficha jina la mtu anaedaiwa kutaka kuhongwa ikawa ni "kulinda maadili ya taaluma ya uandishi"?

Toka lini Dr. Slaa ambae amejipambanua kwa kufichua mafisadi papa akashindwa kutaja jina la mbunge wao aliyekataa hongo?

Toka lini vigazeti feki feki hivi vya kibongo vikaandika kitu cha maana?

Hakuna taaluma mbovu nchini kama uandishi wa habari.

Ile fani ya kumperesheni kichwa mgonjwa wa mguu inakamata nafasi ya ngapi kama ya uandishi ndo imebeba bendera?
 
hata wakimnunua huyo mbunge uchaguz ukifanyika CDM itashinda2 CCM ni sawa na matapishi
 
Acheni kudanganyana ccm ni zaidi ya chama huyo wenje sisi wana mwanza tulimtumia kutuma msg kwa mwenyekiti wetu taifa, na kama anadai alitaka kuongwa it was from a personal level yeye na huyo aliyetaka kumpa hizo hela siyo chama, mwambie atafute pa kwenda wazawa wanadai jimbo lao 2015, m.i. S daima.
 
Back
Top Bottom