Mbatia kuipinga bajeti ya Mwakyembe (uchukuzi) bungeni

AMARIDONG

JF-Expert Member
Jun 24, 2010
2,502
180
Mbunge James Mbatia wa CCM C ameapa kuhamasisha bunge kuipinga bajeti ya Waziri Mwakyembe na kuhakikisha waziri huyo anapata shida kwani ni mzushi na amekuwa akiwasingizia wakuu wake kummwagia sumu.

Akizungumza kwa uchungu jana pale T Square alipokuwa akipata moja baridi moja moto akiwa na marafiki zake kama wanne hivi walioonekana kumsikiliza kwa umakini Mbatia alisema piga ua bajeti hiyo haitapita kwani anaamini japo aliondoka bungeni miaka mingi bado rafiki zake wengi wako bungeni akiwataja kina Mama Kilango na Olesendeka na akasisitiza kwanza Mama Kilango lazima aniunge mkono maana alikuwa rafiki mkubwa wa sister na yuko kwenyenye Kamati ya BUnge ya Miundombinu.

""NInaushawishi bana na kazi yangu ya kwanza itakuwa kupambana na Mwakyembe mwanzo mwisho",alipoulizwa ndio kazi aliyotumwa na aliyemteua Mbatia alikuwa mbogo na kusema yeye ni mtu imara na anafanya maamuzi yake mwenyewe.

Source: MIMI MWENYEWE NILIKUWEPO ENEO LA TUKIO
 
We Suzan Minja inamaana maelezo hayo mlikua mnapatiana T square pale Africana?? atoe wazimu wake hapa..anadhani uzushi wa magazetini una apply mjengoni? Mijitu mingine inatafuta umaaruf kwa nguvu..Mpssxxyy
 
Kama kuna kasoro za ukweli akipinga ifanyiwe marekebisho ni heri.... Lakin kama atapinga kwa chuki/ushabiki/kutumwa hatafanikiwa .....!!!!
 
mbatia,mbatia,mbatia,acha mbwebwe hizo,mkuu aliona mchango wako,ameamua kukuzawadia,ila kumbuka,zawadi hiyo imnahamishika.
shauri yako.
 
We Suzan Minja inamaana maelezo hayo mlikua mnapatiana T square pale Africana?? atoe wazimu wake hapa..anadhani uzushi wa magazetini una apply mjengoni? Mijitu mingine inatafuta umaaruf kwa nguvu..Mpssxxyy

sahihi mkuu hapo hapo White Sands road ndio kijiwe chake ,bahati mbaya na mimi ni kijiwe changu pia
 
Kumbe alisema akiwa T-Square !!! Kinywani kilikuwa kimekolea, alikuwa insane.
 
Mbunge James Mbatia wa CCM C hii ni CCM MPYA AU UNA MAANISHA NCCR MAPINDUZI??Mameapa kuhamasisha bunge kuipinga bajeti ya Waziri Mwakyembe na kuhakikisha waziri huyo anapata shida kwani ni mzushi na amekuwa akiwasingizia wakuu wake kummwagia sumu WAKUU GANI WALIOMMWAGIA SUMU MWAKYEMBE??ISIJE KUWA ANAMZUNGUMZIA ALIYEMTEUA HAPA??.

Akizungumza kwa uchungu jana pale T Square alipokuwa akipata moja baridi moja moto akiwa na marafiki zake kama wanne hivi walioonekana kumsikiliza kwa umakini Mbatia alisema piga ua bajeti hiyo haitapita kwani anaamini japo aliondoka bungeni miaka mingi bado rafiki zake wengi wako bungeni akiwataja kina Mama Kilango na Olesendeka na akasisitiza kwanza Mama Kilango lazima aniunge mkono maana alikuwa rafiki mkubwa wa sister SISTER GANI??ANAMAANISHA YULE MAREHEMU WAZIRI MBATIA ALIKUWA DADA YAKE AU?? na yuko kwenyenye Kamati ya BUnge ya Miundombinu.

""NInaushawishi bana na kazi yangu ya kwanza itakuwa kupambana na Mwakyembe mwanzo mwisho" AMETUMWA KUDIL NA MWAKYEMBE TUU AU ANA HOJA YA MSINGI???,alipoulizwa ndio kazi aliyotumwa na aliyemteua Mbatia alikuwa mbogo na kusema yeye ni mtu imara na anafanya maamuzi yake mwenyewe.MTU IMARA UNASUBIRI VITI MAALUMU KAMA MARTHA MLATA???

Source: MIMI MWENYEWE NILIKUWEPO ENEO LA TUKIO

MBATIA ATAAIBISHA BUNGENI KAMA INGEWEZEKANA ASINGETEULIWA KABISA MAANA CCM C NAYO INAUNGANA NA CCM B NA NYI NYI EM,KUISHAMBULIA CHADEMA AMBAyO NI IMARA SANA
 
Ahaa! Kumbe ametumwa kwenda kuwaandama wale wanaotofautiana na kambi ya jk??

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
If you know what I mean!

Kilimo+cha+umwagiliaji+pembezoni+mwa+msitu+wa+njoro.JPG
 
Hapo mwanzo hukumtendea haki Mheshimiwa Mbunge. Ungetaja na jimbo lake ingekamilika zaidi. Au unataka kusema yeye ni wa viti maalum?
 
wewe Sauti Ivuga..

Mbatia Ni Mwanaume Jina lake James Mbatia, Sasa unaposema Bwana wake anajua, una maana kwamba yeye kaolewa, au ulikuwa una maana gani..
 
Mbunge James Mbatia wa CCM C ameapa kuhamasisha bunge kuipinga bajeti ya Waziri Mwakyembe na kuhakikisha waziri huyo anapata shida kwani ni mzushi na amekuwa akiwasingizia wakuu wake kummwagia sumu.

Akizungumza kwa uchungu jana pale T Square alipokuwa akipata moja baridi moja moto akiwa na marafiki zake kama wanne hivi walioonekana kumsikiliza kwa umakini Mbatia alisema piga ua bajeti hiyo haitapita kwani anaamini japo aliondoka bungeni miaka mingi bado rafiki zake wengi wako bungeni akiwataja kina Mama Kilango na Olesendeka na akasisitiza kwanza Mama Kilango lazima aniunge mkono maana alikuwa rafiki mkubwa wa sister na yuko kwenyenye Kamati ya BUnge ya Miundombinu.

""NInaushawishi bana na kazi yangu ya kwanza itakuwa kupambana na Mwakyembe mwanzo mwisho",alipoulizwa ndio kazi aliyotumwa na aliyemteua Mbatia alikuwa mbogo na kusema yeye ni mtu imara na anafanya maamuzi yake mwenyewe.

Source: MIMI MWENYEWE NILIKUWEPO ENEO LA TUKIO
Mambo gani kuja kummwaga humu mwenzio mliyekuwa mnapata naye moja baridi moja moto! Au hakuzungusha raundi kwa hiyo unauchungu wakutozinywa za bungeni?
 
kama ni kwel basi huyu jamaa kafilisika kweli kisiasa huwez ukapinga bajet kwa sababu binafsi kama hizo pumbavu zake.
 
Back
Top Bottom