Uwanja wa Ndege Arusha ni aibu kwa Taifa

SonGod emo

Member
Apr 5, 2012
17
12
Ni vigumu kuamin uwanja wa ndege wa Arusha umeshindwa kumalizika katika muda uliopangwa kotokana na serikali kushindwa kumlipa mkandarasi wakati uwanja huo unaaingizia serikali mamilion ya pesa kupitia kodi zinazotozwa na uwanja huo , isitoshe barabara ni ya kuingilia uwanjani ni aibu kubwa sana hasa kwa watalii wanaotumia uwanja huo , barabara hukarabatiwa Rais wa nchi anapotua uwanja huo ili kuficha aibu kwa kiongozi huyo manager unafanya nin hapo.
 
Back
Top Bottom