Wabunge wa Dar wakacha vikao muhimu... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wabunge wa Dar wakacha vikao muhimu...

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kasheshe, Jun 7, 2012.

 1. Kasheshe

  Kasheshe JF-Expert Member

  #1
  Jun 7, 2012
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 4,690
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Wabunge kukacha vikao hawawatendei haki wananchi
  Soma mwenyewe mimi simo: lau hivyo vikao vya RCC vingekuwa telivised... wasingekosa... si unajua mambo ya usanii... Kweli taifa linaenda mrama.

  "Serikali legelege inatokana na Bunge Legelege a.k.a Wabunge wasanii": I qoute of signature of a JF Member.

  Dada THEOPISTA NSANZUGWAKO: Ubarikiwe na Bwana eeh.
   
 2. p

  petrol JF-Expert Member

  #2
  Jun 7, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 322
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 45
  Nadhani ni tatizo la kuitisha kikao katika kipindi kisichokuwa muafaka. Kama RCC inategemewa kujadili masuala ya bejeti, ni bajeti ipi inayolengwa kwa sababu mchakato wa kuandaa bajeti kwa upande wa serikali umekamilika na ndiyo sababu hivi sasa kamati za bunge zinakutana kuweka mambo sawa. mkuu wa mkoa amekumbuka shuka hali umekucha na ni busara kukiri kuwa amechelewa kuitisha kikao chake badala ya kulaumu wabunge. Zaidi ya yote nini tija ya vikao vya RCC kwa bajeti na maendeleo ya mikoa kwa sababu mambo mengi yamepelekwa wilaya.
   
Loading...