Halima Mdee; kwenye Jahazi Clouds Radio

Ritz

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
46,892
32,309
Wanabodi.

Mbunge wa Kawe Mh Halima Mdee, anafanya mahojiano na Clouds Fm kwenye kipindi cha Jahazi.
 
Anaelezea matatizo ya ardhi Wiliya ya Kinondoni anashahuri sheria za ardhi zibadilishwe kwenye suala la kupata hati.. Ni shida watu wa mikoani kupata hati ya makazi, yeye kama mbunge katumia miaka 3 kupata hati je Wananchi wa kawaida itakuaje?
 
Niliacha kuisikiliza hiyo Redio baada ya kuushawishiwa na Bwana Fulani, Namsubiri aje anishawishi tofauti.
 
Halima Mdee, kajikita zaidi kuelezea masuala ya ardhi lakini asema kama wakazi wa Msasani TJM na Mandazi road kama wamepata barabara.
 
Badala ya kulezea kero za Kawe hatazitatuaje yeye anaongelea mambo ya Africa Mashariki tu.
 
Kwakweli nasikiliza clouds mara chache sana sana!Zaidi ni radio one na east africa!
 
Back
Top Bottom