Moja ya picha za kilichofanyika masasi na chadema

chigwiye

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
352
59
masasi3.JPG Hawa ndio Nape anawaita oil chafu, nina hamu ya kuona Kama CCM mlipata hata mmoja Makambaku juzi.Hapo Raia wakisukumana kununua kadi za CHADEMA juzi pale Masasi
 
Peopleeeee... C.c.m hawaez kupata wa2 wakununua kadi zao. Wapo ktk dicline rate
 
Maprinter kariakoo wapo busy wanachapisha card za CDM ambazo ni order ya ccm kwaajili ya kuwapa wanachama wake jumamosi ili wajifanye wanarudisha kwenye mkutano wao wa jmosi pale CDM square ( zamani jangwani)
 
Peopleeeee... C.c.m hawaez kupata wa2 wakununua kadi zao. Nap.e huko njombe ni aibu tupu sijaona watu mkutanoni zaidi ya wapita njia na wamama wauza matunda.
 
Back
Top Bottom