Natumaini watanzania mmetangaziwa mkutano wa Nyinyiem Jangwani.
Kuna tetesi kuwa zile hekari 2000, 1000, 500, 200 na viwanja kadhaa zilizoporwa na vigogo wa CCM zitarudishwa.
Pia hayo mashamba...
Mhe. John Maghale Shibuda Mbunge wa Maswa kwa Tiketi ya chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) amesikika mara kadhaa akijinadi yeye ni Rais ajae wa Tanzania kupitia chama cha Demokrasia na...
Nadiriki kusema CCM hadi sasa imekosa vingozi vijana makini wanawoweza kueneza sera na kufanya siasa kwa ufasaha na ku-win public kama ilivyo kwa CHADEMA.
Kwangu mie kwa mazungumzo niliyosikia...
Ni kawaida pale mtu anapokosea kukosolewa lakini pia pale unapogundua kuwa hakukosea baada ya kujieleza unatakiwa kuback down na kujutia ulilolifanya before. Swali kwanini power breakfast bado...
Kwa maelezo zaidi, na wakati wowote hutakapo taarifa zilizosheheni juu ya matukio yahusuyo kanda ya ziwa tembelea BUKOBAWADAU BLOG
Wananchi wakihamasika na salamu ya CHADEMA
Wilfred Muganyizi...
Chama changu ninakiheshimu sana kama chama, ila napata shida kweli na wengi wa nyinyi viongozi, hii tabia gani hii kila upinzani wakileta daladala mnadandia hata hamjui linakokwenda, kwani nyie...
Kaimu Mkurugenzi wa ATCL Bw.Paul Chizi amesimamishwa kazi na Waziri wa Uchukuzi Dk.Harrison Mwakyemba(Mb) kutokana na ukiukwaji wa sheria ya utumishi wa umma ya mwaka 2003 kifungu 17(1) au (3)...
Ndugu vijana wenzangu umefika wakati wa ukombozi tuikomboe nchi kutoka mikononi mwa mafisadi wakubwa ambao hawana huruma na jamii maskini.
Wamekaa madarakani miaka nenda rudi lkn kila siku ni...
1. Matangazo ya kura za Urais uchaguzi mkuu 2010.
2. Chadema ni Chama cha Kidini
3. Vicent hatoki ukoo wa Mwl. Nyerere
4. Report ya Richmond Bungeni
5. Chadema ni Chama cha Kaskazini
6. CUF...
Chama cha Sauti ya Uma-SAU kimesema kimeshtushwa na uteuzi wa Mkiti wa NCCR James Mbatia kuwa mbunge,uteuzi uliofanywa na Mkiti wa CCM Rais Jakaya Kikwete.
Mwenyekiti wa SAU Paul Kyara alisema...
Wadau,
Nasikitika kwamba badala ya mimi kushangilia maamuzi ya waziri, kwa hili naomba nionyeshe masikitiko yangu makubwa hasa kwa mtu muelewa kama Dr Mwakyembe. Alichokifanya mh huyu ndo yale...
Nimepata wasiwasi na utendaji wa viogozi wetu jinsi wanatoa maamuzi katika masuala mbalimbali.Sakata la kufukuzwa kazi kwa CEO wa ATCL hivi karibuni Eng,Chizi kwa sababu ya ukiukaji wa taratibu za...
Hata kabla viongozi wakuu wa CHADEMA hawajaondoka mikoa ya kusini, mwenyekiti wa UWT Sophia Simba anafanya mkutano mkubwa na kina mama (soma wapiga kura) mjini LINDI. Kwa maoni yangu CHADEMA...
nimeipenda hii jamani!
katika pitapita zangu mtaani na mitandaoni watu wamekuwa wakifunguka kuhusu mafuso,trekta,malori yanatumiwa na WAOEMU kuwabeba kwenda kwenye mikutano yao..sasa wamesema...
Kuchukiwa kwa serikali hii kunatokana na kutowajibika hata katika masuala madogo sana. Hivi nyie watu mliopo serikalini hamjajua kwamba vitu vidogo mnavyoshindwa kusimamia kunawafanya mchukiwe na...
Huwa nawaza kadri siku zinapoenda kukaribia uchaguzi mkuu 2015 hamasa kubwa na elimu ya uraia wanayopata wananchi huku ngome kuu za CCM zikiendelea kupukutishwa kila kukicha!
Vijana tukiwa...
Kwanza kabisa napenda kuanza kwa kuwapa pongezi kwa kazi kubwa mnayoifanya kusini mwa nchi yetu kwa sababu kwa kufanya hivyo tunaendelea kujihakikishia kushika dola hapo 2015.
Pamoja na pongezi...
Hawa watu 2 wanatitatiza.
1.Godbless Lema.
2.John Lema.
Hawa wote ni maofisa wa juu wa Chadema,sasa nataka kujua kama ni ndugu au majina tuu ndiyo yamefanana?
Najua kuna watu watu hapa...
Kuna mshikaji kanipigia simu kuwa kamwona Wasira kwenye Lesotho TV wakati wa kumwapisha waziri mkuu mpya wa Lesotho. Inaonekana ameiwakilisha serikali ya Tanzania. Mwenye habari kamili atujulishe...