mashami
Senior Member
- May 8, 2012
- 183
- 27
Huwa nawaza kadri siku zinapoenda kukaribia uchaguzi mkuu 2015 hamasa kubwa na elimu ya uraia wanayopata wananchi huku ngome kuu za CCM zikiendelea kupukutishwa kila kukicha!
Vijana tukiwa mstari wa mbele kwenye kutaka mabadiliko...uwezekano wa kukiweka CHADEMA madarakani bila kupingwa utakuwa wazi na kuandika historia mpya katika nchi hii iliyoongozwa na wachumia tumbo kwa nusu karne.
Peoples power mpaka kieleweke!!!