Godbless Lema & John Lema ni ndugu??? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Godbless Lema & John Lema ni ndugu???

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by CHAI CHUNGU, Jun 8, 2012.

 1. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #1
  Jun 8, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Hawa watu 2 wanatitatiza.
  1.Godbless Lema.
  2.John Lema.
  Hawa wote ni maofisa wa juu wa Chadema,sasa nataka kujua kama ni ndugu au majina tuu ndiyo yamefanana?

  Najua kuna watu watu hapa watakuja na majibu maswali,utakuta mwingine eti kwani Kenny Mkapa na Ben Mkapa ni ndg?majibu ya namna hii yananikela sana,na kuna uwezekano leo nikapigwa ban nyingine hapa!
   
 2. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #2
  Jun 8, 2012
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Huyo John Lema nadhani una maana ya John Mrema. Hebu acha za kuletwa ndugu yangu.
   
 3. l

  luckman JF-Expert Member

  #3
  Jun 8, 2012
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  hamna undugu hapo alafu huyo si John lema, Ni John Mrema!
   
 4. mashami

  mashami Senior Member

  #4
  Jun 8, 2012
  Joined: May 8, 2012
  Messages: 183
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  John mrema siyo lema
  afu inakuhusu nini nenda kwa lichama lako la magamba ukapewa wali na tshirt
   
 5. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #5
  Jun 8, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Ok senki yuuuuuuuuuu!ngoja nikatafute miwani ya masikioni sasa!
   
 6. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #6
  Jun 8, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Ban inaninukia!
   
 7. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #7
  Jun 8, 2012
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,031
  Likes Received: 3,229
  Trophy Points: 280
  Mbona hujauliza Jeri Slaa na Dr Slaa kama ni ndugu?
   
 8. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #8
  Jun 8, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Umekurupuka kupost ka kibaka amechomolewa mahali! bila shaka we utakuwa mbishi!
  John Mrema
  Godbless Lema

  Ungeniambia John Mrema kama wana undugu na Lyatonga au Felix hapo tungeanza kuchunguza!
   
 9. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #9
  Jun 8, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Uliza pia ben mkapa na dustan mkapa
   
 10. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #10
  Jun 8, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  matumizi ya DAWA ZA KULEVYA NI HATARI KWA AFYA YAKO
   
 11. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #11
  Jun 8, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  kama unataka kumechisha nenda ccm huko hata triple unapata.
   
 12. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #12
  Jun 8, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  ndio mkuu..angeuliza VITA RASHID KAWAWA na ZAINAB KAWAWA ama Husein Mwinyi na Abdalah Mwinyi
   
 13. Kaitampunu

  Kaitampunu JF-Expert Member

  #13
  Jun 8, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 1,682
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 145
  Wooh! Nice question! Njoo Break Point beer zikuue rafiki.
   
 14. j

  junior2008 JF-Expert Member

  #14
  Jun 8, 2012
  Joined: Apr 27, 2009
  Messages: 528
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Mkuu hao si ndugu na wala majina hayafanani kabisa. Mmoja ni Godbless Lema (aliye kuwa mbunge wa Arusha Mjini) na mwingine ni John Mrema (ambaye ni Mkurugenzi wa Bunge na Halmashauri) sio John Lema.
   
 15. Maarko

  Maarko JF-Expert Member

  #15
  Jun 8, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1,030
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Wakiwa ni ndugu au si ndugu ina maslahi gani na maendeleo ya Taifa hili? Lakini pia kaa ujue Lema ni jina la ukoo hivyo wapo wengi sana akina Lema,Lakini pia siwapende watu kama wewe ambao hadi leo hujui kiswahili.
   
 16. S

  Sheshejr JF-Expert Member

  #16
  Jun 8, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 435
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Mtoa uzi, binafs nimeelewa mantik ya swal lako kwani kwa siku kadhaa vyombo vya habari kama clouds media, tbc vimekuwa vikimripot mkurungez wa mambo ya bunge na halmashauri wa chadema ndug. John mrema kama john lema kitu ambacho si cha kwel, hivyo chukua hayo mabadiliko frm we JF members.
   
 17. e

  ebrah JF-Expert Member

  #17
  Jun 8, 2012
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 397
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hivi January makamba na yusuph makamba ni ndugu? Riz kikwete na jakaya kikwete ni ndugu? Je raised mstaagu mwinyi na waziri wa afya mwinyi ni ndugu? Karume hayati na raised mstaafu wa zanzbr ni ndugu? Vipi hivi ilani imeainsha kioo za kutoa viongozi eeh? Au wanaongoza kifalme!?
   
 18. M

  MKALIKENYA JF-Expert Member

  #18
  Jun 8, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,198
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 133
  Hivi jamani mleta hii mada na CHIZI ni ndugu?
   
 19. SG8

  SG8 JF-Expert Member

  #19
  Jun 8, 2012
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 3,200
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  Tuko wangapi kwenye mahusiano? Mtandao wa mapenzi ni hatari
   
 20. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #20
  Jun 8, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 549
  Trophy Points: 280
  sio ukatafute miwani umeumbuka ndugu yangu. hiloooooooooooooooooooooooooooooo
   
Loading...