Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Paul Chizi wa ATCL asimamishwa kazi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Watu8, Jun 5, 2012.

 1. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #1
  Jun 5, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 45,903
  Likes Received: 500
  Trophy Points: 180
  Kaimu Mkurugenzi wa ATCL Bw.Paul Chizi amesimamishwa kazi na Waziri wa Uchukuzi Dk.Harrison Mwakyemba(Mb) kutokana na ukiukwaji wa sheria ya utumishi wa umma ya mwaka 2003 kifungu 17(1) au (3).

  Aidha waziri amamteua Bw. Lusajo M. Lazaro kukainmu nafasi hiyo.

  Wengine waliosimamishwa kutokana na ukiukwaji wa Sheria, kanuni na taratibu za utumishi wa Umma ambao umetishia uhai wa shirika ni;

  Bw. John Ringo (Kaimu Mkurugenzi Uhandisi)
  BW. Amini N. Mziray (Mwansheria wa ATCL)
  Bw. Justus Bashara (Mkurugenzi wa Fedha)
  Bw. Josephat Kagirwa (Mkurugenzi wa Biashara)

  Vile vile waziri katabanaisha ya kwamba itaundwa kama ya watu watatu wenye uelewa wa mambo ya fedha na sheria ili kuchunguza matumizi ya fedha za shirika tangu uongozi uliosimamishwa ulipoingia madarakani.

  chizi1.jpg

  chizi2.jpg
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  Jun 5, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 32,036
  Likes Received: 7,061
  Trophy Points: 280
  huyu juzi si alikodisha ndege za ATCL...? tutegemee jipya kwa huyu aiyeteuliwa? Pasco UNASEMAJE HAPA..
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #3
  Jun 5, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 32,036
  Likes Received: 7,061
  Trophy Points: 280
  .........................................
  [​IMG]

  [​IMG]
   
 4. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #4
  Jun 5, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 24,403
  Likes Received: 1,095
  Trophy Points: 280
  Du mbona mawaziri wanatema cheche sana haaa isje ikawa changa la macho?? Kusimamishwa haitoshi kama wameliingizia hasara taifa lazima wapelekwe kwa pilato!
   
 5. Ditto

  Ditto Member

  #5
  Jun 5, 2012
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 56
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
  [​IMG]
   
 6. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #6
  Jun 5, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 27,935
  Likes Received: 6,784
  Trophy Points: 280
  Wasiishie kusimamishwa kazi tu, wafikishwe mahakamani.
   
 7. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #7
  Jun 5, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,234
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  Too bad for them. Lakini kama kuwamwaga kutalinusuru shirika hili, ni sawa.
  Swali la uzushi: Mwakyembe kamtoa Chizi kamweka Lusajo, je ni ukabila unafanya kazi?
   
 8. M

  MISILEE MGOGO Member

  #8
  Jun 5, 2012
  Joined: Mar 30, 2012
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  SAFI SANA mwakyembe
   
 9. T

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #9
  Jun 5, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,676
  Likes Received: 416
  Trophy Points: 180
  Kazi nzuri mwakyembe ila uwe makini na vinywaji na vyakula unavyokula.

  Hivi kwa nini watuhumiwa wote na majizi serikalini ni watu wa jamii fulani? viongozi wa hii jamii wanahitaji kuhubiri maadili zaidi nafikili!
   
 10. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #10
  Jun 5, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 32,036
  Likes Received: 7,061
  Trophy Points: 280
  DUH....!!!!unajua makabila yao? i mean chizi , mwakyembe na huyo aliyeteuliwa? vipi ufanisi wao wa kazi. work done = 0?
   
 11. M

  Mkeshaji JF-Expert Member

  #11
  Jun 5, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,264
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Mheshimiwa waziri wa uchukuzi Dr. Harrison Mwakyembe amewasimamisha kazi viongozi kadhaa waandamizi wa shirika la ndege la taifa ATCL.
  View attachment 55535
   
 12. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #12
  Jun 5, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 32,036
  Likes Received: 7,061
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 13. G

  Gagnija JF-Expert Member

  #13
  Jun 5, 2012
  Joined: Apr 28, 2006
  Messages: 5,548
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Was it necessary taarifa hii kutolewa kwa vyombo vya habari?
   
 14. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #14
  Jun 5, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 45,903
  Likes Received: 500
  Trophy Points: 180
  Mkuu labda tumaini jipya lipo kwa waziri wa uchukuzi...naona anaanza kutimiza ahadi zake
   
 15. Michael Scofield

  Michael Scofield JF-Expert Member

  #15
  Jun 5, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 1,216
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Wanaanzaga kwa mikwala......!
   
 16. s

  sem2708 JF-Expert Member

  #16
  Jun 5, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 2,839
  Likes Received: 198
  Trophy Points: 160
  Big up Mwakyembe,chapa mwendo tunakuaminia....
  Haukuwa umetendewa haki pale ulipokuwa naibu wa waziri...viatu vinavyokutosha ndio hivyo.
  i have never doubted your performance.
  Big up!!!
  Mungu ibariki Tanzania,Mungu Mbariki Mwakyembe!
   
 17. Bitabo

  Bitabo JF-Expert Member

  #17
  Jun 5, 2012
  Joined: Sep 27, 2011
  Messages: 1,865
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  [​IMG]
  Pichani ni aliyekuwa Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa ATCL Bw. Paul Chizi
  [​IMG]
  [​IMG]

  Source: www.dewjoblog.com
   
 18. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #18
  Jun 5, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,625
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Duuuh kweli afadhali rais asingevunja baraza la mawaziri maana mawaziri wa sasa wana sifa balaa na hii itakifanya chama cha Mapindizi kung'ara na kufanya kazi 2015 kuwa pevu tena.
   
 19. Ditto

  Ditto Member

  #19
  Jun 5, 2012
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 56
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  naona kila waziri ameanza kwa mbwembwe za kusimamisha watu.. Hii kweli itasaidia kusimama kwa hili shirika?
   
 20. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #20
  Jun 5, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 45,903
  Likes Received: 500
  Trophy Points: 180
  mkuu chini kabisa ya tamko la waziri, amebainisha kuna uchunguzi utafanywa kujuwa wapi kulikua na mushkeli ndio maana wahusika wamewekwa kando nadhani kupisha uchunguzi huru.
   
Loading...