Kesho Jangwani, Ardhi iliyoporwa na Vigogo wa CCM kurudishwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kesho Jangwani, Ardhi iliyoporwa na Vigogo wa CCM kurudishwa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MPadmire, Jun 8, 2012.

 1. M

  MPadmire JF-Expert Member

  #1
  Jun 8, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 2,628
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Natumaini watanzania mmetangaziwa mkutano wa Nyinyiem Jangwani.

  Kuna tetesi kuwa zile hekari 2000, 1000, 500, 200 na viwanja kadhaa zilizoporwa na vigogo wa CCM zitarudishwa.

  Pia hayo mashamba yatagawanywa kwa wananchi wanaotaka kulipa.

  teh teh wanaanza kuvua magamba

  Source: uenezi Nyinyiem
   
 2. Gwankaja Gwakilingo

  Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member

  #2
  Jun 8, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 1,963
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Nawashangaa sana hawa watu wanatuita viwanjani wakatuambie nini? walituita wakati wa kampeni wajinga wakawapa kura zao baada ya kutoa ahadi kibao nilidhani huu ndio wakati wa kutekeleza ahadi zao sasa viwanjani wanataka kutueleza nini wakati hatuja ona hata meli moja zaidi tumeona ndege ya kuazima,hovyo sana hawa jamaa Pole mtakao enda
   
 3. Mpangamji

  Mpangamji JF-Expert Member

  #3
  Jun 8, 2012
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 536
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Nyinyiem bwana utamu mtupu. Subiri kesho tuone wadanganyika wataambiwa nini!
   
 4. democratic

  democratic JF-Expert Member

  #4
  Jun 8, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 1,644
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hiki kikao kitajaa ngonjera tu hamana lolote
   
 5. Capt Tamar

  Capt Tamar JF-Expert Member

  #5
  Jun 8, 2012
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 6,663
  Likes Received: 3,317
  Trophy Points: 280
  Watavigawa hapohapo uwanjani?kama jibu ni ndiyo then hiyo itakuwa sababu pekee itakayoweza kunisukuma kwenda jangwani,please sitataka porojo!!nipewe kiwanja nisepe.
   
Loading...