Livanga
JF-Expert Member
- Apr 15, 2010
- 469
- 148
Ni kawaida pale mtu anapokosea kukosolewa lakini pia pale unapogundua kuwa hakukosea baada ya kujieleza unatakiwa kuback down na kujutia ulilolifanya before. Swali kwanini power breakfast bado wanaponda hata baada ya Mwakyembe kuweka wazi the reasons behind, nakumbuka pia walikuwa wanaongoza kwa kusifia ndege ya ATCL zilipoingia na hata watu walipolalamika kuhusu delays wao walikaza boot.