CCM ni lazima ibadilike kesho inajipa aibu na kupoteza wafuasi kabisaa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM ni lazima ibadilike kesho inajipa aibu na kupoteza wafuasi kabisaa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by JF-MBUNGE, Jun 8, 2012.

 1. J

  JF-MBUNGE JF-Expert Member

  #1
  Jun 8, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 422
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Nadiriki kusema CCM hadi sasa imekosa vingozi vijana makini wanawoweza kueneza sera na kufanya siasa kwa ufasaha na ku-win public kama ilivyo kwa CHADEMA.

  Kwangu mie kwa mazungumzo niliyosikia mtaaani, maofisini na vijiwe vya kazi naona kesho CCM jangwani inaendaa kuvuna aibu. Watu wataenda na mkutano ukiisha sioni mtu wa CCM anayeweza kuwashawishi kutendea mema wananchi wakati wamekuwepo madarakani kwa miaka 50 sasa na hali ipo hivyo.

  Vijana wa CCM ambao wamepewa nyazifa za kukiongoza chama ndio walitegemewaa kuleta mabadiliko ndani ya CCM wameshindwa na kuna kiladalili za kushindwa na jibu la kushindwa ni rahisi tu hawana uwezo...!wamekalia kuiga kauli mbiu eti vua gamba, vua gwanda vaa uzalendo.

  Hii inaonesha adui wake wa kwanza ni gamba ambaye ndio yeye. Sasa utajiuliza hapo mtu atavuaje gamba kabla hajavua gwanda kisha avae uzalendo kama wanavyosema? Na swali la kuwauliza jangwani ni moja tuu nalo ni je ni uzalendo gani huo CCM wanaosema kuuvaa?

  Kumbuka wanaojitabainisha kuwa ni wazalendo CCM wakifanya uzalendo huwa wanamezea mengine kwa faida ya nchi....jiulize hiyo faida ya nchi ni ipi? ni faida ya wananchi au faida ya watu wachache waliofanya madudu wasiowazalendo: TAFAKARI

  Kiufupi kesho watu watakuwepo wachache na baada ya mkutano wengi wataonesha vidole viwili, na hapo ndio CCM itakuwa inajichimbia kaburi kabisa.
   
 2. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #2
  Jun 8, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,787
  Likes Received: 36,795
  Trophy Points: 280
  CCM wote, si mkubwa wala mdogo yani woote kwa ujumla mnapigiwa kiduku na nape nyie kazi yenu ni kucheza tu.

  Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
   
 3. SG8

  SG8 JF-Expert Member

  #3
  Jun 8, 2012
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 3,199
  Likes Received: 233
  Trophy Points: 160
  Kesho asilimia 90 ya hotub itakuwa ni kuibeza Chadema... Chama tawala acheni kulia lia
   
 4. Gsana

  Gsana JF-Expert Member

  #4
  Jun 8, 2012
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4,387
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 180
  nategemea nape atatangaza kauli mbiu yake. ATAVUA GAMBA ATAVAA GWANDA LATER INAFUATA PROCESS YA KUVAA UZALENDO,NIJUAVO KUUVAA UZALENDO NI NGUMU KWANI UZALENDO UKAA MOYONI,IVO MH NAPE ATAISHIA STAGE2 YA PROCESS AMBAYO NI KUVAA GWANDA IVO NAPE KESHO ANAVAA GWANDA
   
 5. J

  JF-MBUNGE JF-Expert Member

  #5
  Jun 8, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 422
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Nape akivaa gwanda watamuweka wapi nafasi zimejaa, labda msemaji wa familia ya ZITO analijua hilo ndio maana CCM anakazana na propoganda tuu bila kuhimiza kutatua matatizo ya wananchi
   
Loading...