bila v8 jangwani No!

mashami

Senior Member
May 8, 2012
183
27
nimeipenda hii jamani!
katika pitapita zangu mtaani na mitandaoni watu wamekuwa wakifunguka kuhusu mafuso,trekta,malori yanatumiwa na WAOEMU kuwabeba kwenda kwenye mikutano yao..sasa wamesema bila V8,hammer,vx,bmw hawataenda huko jangwani kutokana na mafuso mengi kuwabeba kama mizigo na kuwabananisha sana kiasi cha kukosa hewa....

Mytake; Kwanini chama tawala mnajaribu kushindana na nguvu ya umma sisi huwa tukishatangaziwa mara moja tu inatosha..!!
M4C ITAWAUMBUA
 
Kwaya, wanabongo fleva , ze komed, na vikundi mbalimbali hivi ndio vnatufanya tuhudhurie kesho. Maana pesa ya kuingilia kwenye kumbi mbalimbal ha2na. Kwahiyo lazima kesho twende. Tunafuata burudani, sio akina Nape na CCM wenzake.
 
Kwaya, wanabongo fleva , ze komed, na vikundi mbalimbali hivi ndio vnatufanya tuhudhurie kesho. Maana pesa ya kuingilia kwenye kumbi mbalimbal ha2na. Kwayio lazima kesho 2enda. Tunafuata burudan, sio akina nape na magamba wanzeke.

usisahau kachumbari naskia kuna kipunga
 
kama huna dekio kwako waweza ambulia ri-tisheti, ua rikitambaa ra kufutia meza ama madirisha
 
Jamani Khanga ,Kofia na mitandio ya kijani tunapata wapi bure ili kesho tuende!mwenye taarifa jamani
 
Pale lumumba, ulizia mtu anaitwa nape of. Na 9. Ukimkosa nenda n.2 ulizia mzinzi mwigulu, ka naye katoka basi ingia na 4 utmkuta lusinde na secretari wake mobimba, usigonge hodi.. Choma ndani na usisalimie mtu hawatakuelewa ,we poromosha matusi ya kutosha utpata huduma kwa haraka,ikishindikana kabisa nenda msitu wa gombe kaulizie.........stivin.
Jamani Khanga ,Kofia na mitandio ya kijani tunapata wapi bure ili kesho tuende!mwenye taarifa jamani
 
Tumesha wazoea hawanaga objective mpaka makamanda wa anze ndio na wenyewe wanapata pakuanzia si unaona na kina membe wameanza kwenda majimboni?Usishangae na kesho mkapa kujilipua tena kama kule meru.
 
Hatuna tatizo nao tunasubiri sera zao za maudhi na za kudanganya umma!
 
Back
Top Bottom