Wasira amewakilisha Tanzania kwenye sherehe za kumwapisha waziri mkuu mpya Lesotho

Kiti

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
359
234
Kuna mshikaji kanipigia simu kuwa kamwona Wasira kwenye Lesotho TV wakati wa kumwapisha waziri mkuu mpya wa Lesotho. Inaonekana ameiwakilisha serikali ya Tanzania. Mwenye habari kamili atujulishe. Kwa nini Mkulu au Shein au Pinda hawakuwakilisha.

Waziri mkuu mpya ameapishwa masaa machache yaliyopita baada ya upinzani kuungana na kupata majority kuweza kuunda serikali mpya. Waziri mkuu wa zamani amekubali kushindwa na kuahidi kuwa strong opposition.
 
Atakuwa ameitwa kuwatisha Raia wa huko

WassiraCCM(2).jpg
 
Back
Top Bottom