Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

CHAMA CHA MAPINDUZI TAARIFA KWA VYOMBO VYA HAHARI: Tarehe 9/6/2012: Wote mnatambua kuwa leo ni mkutano wetu pale Jangwani, Napenda nichukue fursa hii kuwaeleza mambo muhimu, ya kufanya na...
1 Reactions
113 Replies
9K Views
Jana katika mkutano wa CCM Jangwani Mhe Anne Tibaijuka alisikika akijigamba kuwa hakuna mwananchi hata mmoja wa Jiji la DSM atakayeporwa ardhi yake ilihali katika eneo la Kwembe Manispaa ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
:clap2: UNAJUA SUALA LA KUCHAGUA KIONGOZI KWA KUANGALIA ANAVYOONGEA NA KUCHANGIA KIFEDHA SIO ZURI KWA SABABU UONGOZI SIO FEDHA WALA MANENO...UONGOZI NI KUTOA MAAMUZI SAHIHI...HII YA KUCHAGUA WATU...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Hii si Muchezo: Katika utafiti wangu mdogo nimegundua watu hapa nchini wanawaabudu wanasiasa. Wengine wanaabudu kwa kujua lakini wengine matendo yao tu yanashuhudia kuwa wanawaabudu. Hao...
0 Reactions
1 Replies
747 Views
  • Closed
Akifanya vizuri tumpedekeze kiwa Presidaa..Au mnaonaje? Hamna cha Lowassa, Mwandosya UPDATES: Waziri Mkuu Mizengo Pinda ametangaza kuachia ngazi za kisiasa mara kipindi cha ubunge wake...
0 Reactions
98 Replies
9K Views
Hizi mbwembwe za Magufuli zinachosha!, juzi kawatuliza wakandarasi kwa madai kwamba matatizo ya EURO zone na matatizo ya kampuni ya PEOGEOT ya Ufaransa ndio yatakayosababisha serikali ya Tanzania...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Napenda kukupongeza kiongozi wetu kwa kazi nzury uliyofanya wewe na viongozi wenzako hapo jagwani,mmeonyesha ukomavu sana,,sasa kiongozi wangu nape na sisi watu wa arusha tukutegemee lini kwenye...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
, 2012 Tanzania | Saturday 9 June 2012 Former President of the United Republic of Tanzania, Al-Hajj Ali Hassan Mwinyi, has lashed out at people who incite religious riots on the pretext of...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Nawaombeni viongozi wa chama cha demokrasia na maendeleo kufanya mkutano mkubwa hapa dodoma kabla ya bunge,ila wakazi wa dodoma nao waweze kushiriki ktk m4c kwa kufanya hivyo tutaamsha walio lala.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mwalimu alisema Ikulu sio sehemu ya kukimbilia, ila cha kushangaa mtajwa hapo juu anautaka urais kwa nguvu zote. Kama nia ni kusaidia nchi naamini kwa nafasi yake alio nayo anaweza tu sio mpaka...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Nasikikitika kusikia kelele za Nape na CCM as if CCM imefanya makubwa au hata ina the MOst Brilliant Minds. maneno yake kuwa .....CCM itaendelea kutawala....kwa vile wapinzani...
0 Reactions
0 Replies
974 Views
ni kwel ccm imefanya mengi lkn ukiyalinganisha na mda hayaendan hata kidogo!hawana la kujisifia!tumechoka na ccm!
0 Reactions
0 Replies
830 Views
NIMEFUATILIA BAADHI YA PICHA NIKABAINI KWAMBA SIYO KWELI MIKUTANO YA CDM KANDA YA KUSINI INAJAZA KAMA INAVYODAIWA NA CHAMA HICHO, SITAKI KUSEMA CHADEMA KASKAZINI OK LAKINI BADO SAFARIO NI NDEFU...
0 Reactions
34 Replies
5K Views
Ndugu viongozi wa kitaifa wa CHADEMA, wananchi wapenda nchi ya Tz wanaomba muandae mkutano Jangwani awamu ya pili ili mseme umaskin mlio uona kusini mwa Tanzania katika M4C. Pia mtusemee kero...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mara zote CCM wakati wa midaharo iwe ya Uchaguzi au mambo yoyote yahusuyo wananchi huwa wanapinga kwa herufi kubwa kuwa hawataki kusikia habari za midaharo na mbaya zaidi kurushwa moja kwa moja...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Uchungu wa Lift Co. Ltd inayo furaha kuwatangazia wananchi wote watakaorubuniwa na kudandia lift kuja CHADEMA Square kuwa tutatoa huduma zifuatazo: 1. Maelekezo ya kulijua Jiji 2. Matangazo ya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
  • Closed
Mkutano wa CCM Jangwani: Nape anawatukana UAMSHO na kuwaita Wezi wakubwa na Majambazi.. Hayo maneno anayasema muda huu Jangwani LIVE ITV yaani kwa Ujumla kageuka Lusinde. Cha kujiuliza je Matusi...
0 Reactions
140 Replies
11K Views
Jamani huu ni wakati wa kumkumbuka MUNGU na kuwaombea viongozi wa nchi yetu ili MUNGU awape HEKIMA na MAARIFA. Tuacheni ushabiki wa vyama ambao hauna tija yoyote. Kumbuka: Kila Mamlaka iliyopo...
0 Reactions
0 Replies
845 Views
Changia maendeleo ya nchi
5 Reactions
48 Replies
5K Views
Haya bandugu, ukiliona lori limebeba watu wa kuhudhuria mkutano wa CCM jangwani leo hebu tupia namba zake hapa... Nimeliona moja likitokea Mbagala charambe mida hii lenye namba T327AWV FUSO
2 Reactions
58 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…