Tibaijuka naye ni fisadi tu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tibaijuka naye ni fisadi tu.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by WATANABE, Jun 10, 2012.

 1. W

  WATANABE JF-Expert Member

  #1
  Jun 10, 2012
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 1,091
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 135
  Jana katika mkutano wa CCM Jangwani Mhe Anne Tibaijuka alisikika akijigamba kuwa hakuna mwananchi hata mmoja wa Jiji la DSM atakayeporwa ardhi yake ilihali katika eneo la Kwembe Manispaa ya Kinondoni jirani na Shuel yake iitwayo Barbro Johansen wananchi wanaporwa ardhi zao na watendaji wa wizara ya Ardhi ardhi hiyo na kuuzwa kwa watu wengine kwa bei kubwa mno.

  Cha kushangaza kabla Mhe Anne Tibaijuka hajakuwa waziri wa wizara hiyo alikuwa akipinga shamba lake analotarajia kujenga shule ya wavulana ambalo lilipimwa viwanja baada kulipwa, alifikia hatua ya kuweka mabango yanayotoa ujumbe kwa wanunuzi wa viwanja wasikubali kugawiwa viwanja katika shamba hilo na Wizara ya Ardhi.

  Baada ya kuwa Waziri wa Wizara hiyo amejirejeshea shamba lake licha ya kulipwa fidia na Serikali huku ardhi ya wananchi ambao hawakulipwa fidia ikiporwa na kuuzwa kama watu wengine.
   
 2. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #2
  Jun 10, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,202
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Ndio maana alitimuliwa UN Kama mwenzake Migiro
   
 3. Christine1

  Christine1 JF-Expert Member

  #3
  Jun 10, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 12,297
  Likes Received: 1,216
  Trophy Points: 280
  ....mkuu,ulikuwa hujui
   
Loading...