Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mwenyekiti wa Kambi ya Upinzani Bungeni Mh. Freeman Mbowe ameeleza kushtushwa na bajeti ya serikali ya mwaka 2012/2013 kwa kutogusa mahitaji halisi ya wananchi. Ameeleza tatizo kubwa la sasa...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Mwalimu wangu amenikataza.Amesema tuliyoyashuhudia njiani,tuliposafiri kwa treni toka Dar hadi Dodoma, atayasema mwenyewe ima kwa maneno au kwa vitendo.Amesisitiza kuwa amejifunza mengi njiani na...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Nimemsikia mh. Livingstone akihojiwa akasema anashangaa mama ntilie kuwa na laini nne wakati yeye ni mbunge na ana laini moja, akasema tuishi kulingana na kipato, je kwa kauli hiyo amezingatia...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Aisee lusinde ni kilaza kweli hajui kuwa cku hizi line cm hutolewa bure na makampuni ya cm! Huyu jamaa ana degree ya upumbavu
0 Reactions
1 Replies
805 Views
Hallo JF, Naona hotuba inaendelea ya bajeti ya serikali pale bungeni Dodoma, ukweli ni kuwa nimeanza kuona udhaifu wa Waziri wa fedha kwenda na spidi ya kumaliza lile likabrasha lenye kurasa...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Chadema ni chama kilichoanzishwa kwa mfumo wa kibepari. Kwahiyo Msingi mkuu wa chadema ni ubepari. Mwanzilishi wa Chadema ni Mzee Mtei ambaye alitofautiana na baba wa Taifa Mwalimu Julius...
3 Reactions
267 Replies
22K Views
Katibu mkuu wa chama kipya cha siasa Alliance for Democratic Change (ADC) Kadawi Lukas Limbu juzi ameumbuka katika mgahawa wa Falcon uliopo mtaa wa Lumumba, alipokuwa akikipondea chama cha...
4 Reactions
25 Replies
3K Views
ALHAMISI, JUNI 14, 2012 06:19 NA BAKARI KIMWANGA, DODOMA WAZIRI wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, aligeuka kivutio mbele ya Bunge, baada ya kutoa somo kuhusu umuhimu kwa taifa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuna habari Michuzi blog inasema hivi: "Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Bw Rene Meza akieleza jinsi Vodacom ilivyochangia zaidi ya shilingi billion 700 katika malipo ya kodi ya serikali...
1 Reactions
53 Replies
5K Views
Bonyeza link hii kusikiliza Bunge Bungeni Live
7 Reactions
34 Replies
7K Views
Asubuhi hii wakati mh. Makinda anatoa utambulisho wa wageni mbalimbali bungeni amenishitua na kauli baada ya kuwatambulisha wanafunzi wa mwaka wa tatu na kuwaeleza kuwa wasome kwa bidii, lakini...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Nimetoka kwenye mazishi ya mwanachama wa CDM kijana Denis Saitoti aliepata ajali Nairobi. Kamanda MIlia ametoa hotuba nzuri sana kwa niaba ya CDM. Amewaasa wanachi kuhakikisha wanatoa mchango wao...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nawasilishi ombi langu kwa watu mlio karibu na DR. REGINALD MENGI mkurugenzi mtendaji wa IPP..kama mdau mkubwa wa vyombo vya habari hapa nchi cc wananchi tunaomba makampuni yake hasa TV kurusha...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hapa JF kulikuwa na tuhuma kuwa CHADEMA ni chama cha kaskazini tu tena cha kidini lakini baada ya chedema kwenda kusini na kudhihirisha kuwa kimekubalika kila pande ya nchi tuhuma hizo hatuzioni...
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Nimesoma kwa masikitiko makubwa tamko la BAKWATA kuhusu kususia sensa. Wakati natafakari, kwa nini viongozi hawa wenye weledi mkubwa kuamua kufanya jambo kama hilo, nikagundua kuwa kama watu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hapa jana kwenye taarifa ya habari wameonyeshwa washtakiwa wa ujangili waliokamatwa wakiwa wanatega tembo kwa kutumia maboga yenye sumu na hawa watapewa adhabu kali. Lakini kuna kashfa ya...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kilio changu siku zote ni jinsi serikali ya Kikwete - na hata zaidi iliyopita ya Mkapa, zimekuwa zikiyaendekeza makampuni ya kutoka nje. Maeneo matatu yanahusika sana; - Udanganyifu mkubwa wa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wakijadili BAJETI itakayosomwa baadae Leo pamoja na Mw/kiti WA Kamati ya Nishati na Madini MHE. Seleman.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Baada ya mfuasi wa kikundi cha kigaidi cha Al Shabab kukwepa mitego ya makachero wa Kenya hatimaye ametiwa mbaroni nchini Tanzania. Gaidi huyo amehusika na matukio mbalimbali ya kigaidi nchini...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wapendwa Ndugu zangu Watanzania,Naomba tuangalie kwa umakinisana swala la udini, hili swala liliibuka baada ya uchaguzi na wakati wauchaguzi uliokwisha,Na mbaya zaidi. Viongozi wakubwa wa nchi...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…