NEWS ALERT: DR.MWAKYEMBE: USIWAAMBIE...nitafunguka MWENYEWE.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

NEWS ALERT: DR.MWAKYEMBE: USIWAAMBIE...nitafunguka MWENYEWE..

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by VUTA-NKUVUTE, Jun 14, 2012.

 1. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #1
  Jun 14, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,869
  Likes Received: 6,608
  Trophy Points: 280
  Mwalimu wangu amenikataza.Amesema tuliyoyashuhudia njiani,tuliposafiri kwa treni toka Dar hadi Dodoma, atayasema mwenyewe ima kwa maneno au kwa vitendo.Amesisitiza kuwa amejifunza mengi njiani na ameimarika sana kiwizara.'Usiwe na wasiwasi VUTA-NKUVUTE,nitaongea hata kwa vitendo'. Wananchi waisubiri tu ripoti yangu TRL na kwingineko Wizarani mwangu' akaongeza.

  Sikumuacha bila swali.Nikamuuliza: Kwani collective responsibility(uwajibikaji kwa pamoja) Serikalini haupo tena? Akacheka...halafu akaniambia: 'bado upo lakini na wa binafsi muhimu'.

  Nilimuuliza hivyo kufuatia vitendo vya Mawaziri kuonekana kana kwamba kila mmoja anapambana 'kivyake'. Mimi nimesharejea Dar kwa gari la abiria kuendelea na usaka tonge wangu. Siasa bwana...
   
 2. Oluoch

  Oluoch Senior Member

  #2
  Jun 14, 2012
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 134
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kila la heri Dr. Mwakyembe,endelea kupambana. Tunasubiria ripoti yako na uwasilishaji wa bajeti ya wizara yako
   
 3. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #3
  Jun 14, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
 4. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #4
  Jun 14, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Katika jambo linaloumiza kichwa ni hili la reli ya kati kuachiwa wezi badala ya kutanua wigo wake serikali yetu iliamua kuiua kwa bidii zote tena huyu mzee wa utandawazi na genge lake sijui alikuwa anawaza nini!!
   
 5. Amiliki

  Amiliki JF-Expert Member

  #5
  Jun 14, 2012
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 2,087
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Atapigwa Mkwara tu atanywea. Unacheza na Magamba wewe! Akileta za kuleta zaidi ile Polosium bado imebaki sasa hatanyonyolewa nywele na kope tu watamnyonyoa mpaka za kwenye nanihii.
   
 6. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #6
  Jun 14, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Tunasubiri kusikia kwake kuliko kumsemea
   
 7. M

  MAKAH JF-Expert Member

  #7
  Jun 14, 2012
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 1,598
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Reli ya kati iandaliwe kutumia umeme mwingi ambao utazalishwa maporomoko ya stiegler na ule wa uranium. twende zaidi ya ulanguzi wa tickets.
   
 8. M

  MTK JF-Expert Member

  #8
  Jun 14, 2012
  Joined: Apr 19, 2012
  Messages: 6,960
  Likes Received: 2,837
  Trophy Points: 280
  Nadhani ulikuwa na wazo zuri la kushirikisha wadau lakini wakati unajiandaa kulipost ukaghafilika ukatuma hii disjointed post!! Mwalimu gani alikufundisha kwamba dhana ya "collective responsibility" ina maana ya Waziri mmoja mmoja kutojituma na kuwajibika ipasavyo katika majukumu ya wizara yake?! unataka kutwambia nini hapa?! hii sio siasa bali mfano mzuri wa kuwajibika katika utumishi wa umma ambao watanzania wengi kwa sasa wanaona umepotea kabisa!!!!
  Well; Kudos Dr. Harrison Mwakyambe, afya yako ieendelee kuimarika ili upambane ipasavyo na kurejesha tumaini la wanyonge lililopotea.
   
 9. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #9
  Jun 14, 2012
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Kama wasemavyo watu kuwa Mwakyembe anapenda sifa na ndio maana alimchukua huyu anaejiita mwanafunzi wake wasafiri pamoja ili ampe coverage kwenye magazeti; kama anataka kufanya afanye watu waone lakini ajue as long as Chambo ni katibu wake mkuu he will not be able to deliver and if he does not exercise care that ministry will be his Waterloo!!
   
 10. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #10
  Jun 14, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Anapo pa kumbilija. Ndaga.
   
 11. W

  WATANABE JF-Expert Member

  #11
  Jun 14, 2012
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 1,091
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 135
  Huyu Mwakyemebe anatupatia mbwembwe ili kujijenga kimakundi ndani ya CCM, kama mtu unafikiri vizuri iweje awsilishe bajeti kwanza wizara ya fedha ndipo aanishw ziara za huku mara kule? Haya atakayoyagundua sasa atayaweka ktika bajeti ipi? Na hizo fedha za kurekebisha haya anayoyaona atazipata wapi?

  Ni heri angeshughulika na kitu kimoja akimalize ndipo arukie kingine mara ATCL hajamaliza karulia daladala hajamaliza karukia bandari hajamaliza karukia treni. Mimi ampa mtihani mmoja wale wamiliki na wadereva wa daladala aliowapiga mkwara akiwawza nitajua kuwa anafaa uongozi lakini tukiendelea kulanguliwa nauli na daladla kukatisha njia nitajua ni nguvu za soda.
   
 12. P

  Popompo JF-Expert Member

  #12
  Jun 14, 2012
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 411
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  pompo upo?nakusalimu.
   
 13. The Listener

  The Listener JF-Expert Member

  #13
  Jun 14, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 977
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Huu ulikuwa ni mpango mkakati wa wenyenchi kwani wengi wao ndio wenye kumiliki magari makubwa ya mizigo pamoja na magari ya abiria. eeeeh mola tunusuru na watu hawa kwa kuturudishia ile reli yetu ya miaka ile tuliyoitegemea sana kama wanafunzi kwa kutupunguzia gharama.
   
 14. Christine1

  Christine1 JF-Expert Member

  #14
  Jun 14, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 12,266
  Likes Received: 1,197
  Trophy Points: 280
  ama kwelii,bongooooo noma!agrrrrrrr
   
 15. c

  chuwaalbert JF-Expert Member

  #15
  Jun 14, 2012
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 3,054
  Likes Received: 1,440
  Trophy Points: 280
  TRL walipewa WAHINDI kama zawadi ya KUGAWA MAHNDRIRA, yale magali ya kijani 2 kila jimbo! Jeetu Patel, Rostamu laAzizi na Yusufu manji walnahusika.
  Source> MwanaHALISI.(Makala mbalimbali za miaka ya nyuma). So, Mwkyembe AANZIE huko! Asiishie KUPATA LIFT kwenye mkweche Uitwao Reli ya kati!
   
 16. Sikafunje

  Sikafunje Member

  #16
  Jun 14, 2012
  Joined: Feb 22, 2009
  Messages: 37
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Hivi wewe unamfahamu vizuri huyo Mwakyembe? Huyo jamaa hana urafiki hata na ndugu yake yeyote ambaye hatendi haki au anafanya ufisadi. Nlijaribu kufanya utafiti kidogo nikagundua ni mtu wa aina yake, kwake hana hata biashara ya kufuga kuku zaidi ya kuwekeza katika siasa kwa kuwatumikia watanzania. Ni watu wengi waliotetewa naye pale walipokuwa wameonewa katika maeneo tofauti na ndo maana kila mtu alikuwa anamwombea alipokuwa anumwa. Watanzania tuache unafikikatika masuala ya msingi.
   
 17. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #17
  Jun 14, 2012
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Acha pumba zako wewe; ule mradi wa umeme wa upepo yeye na ndugu zake walikuwa wanagombania na mafisadi wenzao huko Singida!! Hela za kuhonga wakati wa uchaguzi anazipata wapi? Pengine anapewa na Mengi!!
   
 18. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #18
  Jun 14, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280

  Bulesi bwana imejuaje? Kama mzee yule marehemu wa pale mwembechai.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. Masota

  Masota Member

  #19
  Jun 14, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Tunataka kazi Si maneno na nguvu ya soda.
   
 20. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #20
  Jun 14, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,700
  Likes Received: 12,750
  Trophy Points: 280
  Tusubiri ripoti
   
Loading...