Mbelwa Germano
JF-Expert Member
- May 7, 2011
- 789
- 289
Mwenyekiti wa Kambi ya Upinzani Bungeni Mh. Freeman Mbowe ameeleza kushtushwa na bajeti ya serikali ya mwaka 2012/2013 kwa kutogusa mahitaji halisi ya wananchi. Ameeleza tatizo kubwa la sasa nchini ni mfumuko mkubwa wa bei ambao waziri wa fedha hakuonyesha ni kwa jinsi gani wanaweza kusimamia suala hili kwa ufanisi zaidi ya kueleza matatizo haya kwa ujumla.
Alikuwa ukitoa maoni yake toka Dodoma kuhusu bajeti ya serikali 2012/2013 kupitia idhaa ya kiswahili ya BBC.
Alikuwa ukitoa maoni yake toka Dodoma kuhusu bajeti ya serikali 2012/2013 kupitia idhaa ya kiswahili ya BBC.