Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Bolivian officials get spy pens in anti-corruption effort Bolivian custom officers will have to carry special pens, with a hidden micro-camera and voice recorder, as part of a government...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Ndugu wajumbe, Katika hali ya kutekeleza maelekezo ya raisi wetu (sikivu) Dr. JK ya wabunge kuisimamia vyema serikali sikivu!, baadhi ya wabunge wa CCM wameapa kutoipitisha bajeti yetu "ya...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Wakuu heshima mbele,naomba kujua zaidi hizo zama mbili katika jamii yetu,miaka ile ya 70 na 80 kila mtu ambae haeleweki vizuri na jamii au biashara zake zinakusa sana na hazieleweki aliogopwa sana...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Binafsi Dr.Pombe huwa namkubali ktk utendaji wake. lakini kwa hili la daraja la Mbutu sincerely sitomkubali. jana katika kumnadi Dr.kafumuka Dr. Pombe alisema katika budget ya 2011/2012 wizara...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Nashauri si busara kabisa kubeza hizi juhudi za magamba za kurudisha imani ya watu mbalimbali nchini kwao. Leo Mafinga Nape amekutana na waalimu zaidi ya 360 na amekuwa na amzungumzo nao kwa muda...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Source : mwananchi.co.tz MMOJA AJITOLEA KUFUKUZWA, WATAKA IUNDWE TUME KUICHUNGUZA HAZINA Neville Meena na Mussa Juma, Dodoma KAMATI ya wabunge wa CCM jana ilikutana kwa zaidi ya saa tano...
1 Reactions
1 Replies
963 Views
Bajeti ya serikali iliyosomwa na waziri wa fedha inaonesha kuwa baada ya ya serikali kuongeza mishahara(kwa wafanyakazi wake wa serikali)imerevenge kwa kuongeza kodi ya mishahara hii inamaana kuwa...
1 Reactions
118 Replies
13K Views
Kwa yeyote ambaye anaufahamu wa mambo ya bajeti/uchumi naomba kuuliza. Kwa mujibu wa bajeti yetu ya mwaka huu (na miaka iliyopita zinafanana), tunatumia 70% kufanaya maendeleo ya 30%(kwa mkopo)...
0 Reactions
1 Replies
943 Views
Katika mkutano wa hadhara wa nape juzi Mufindi wananchi wameonyesha kutoridhishwa na uwezo wa nape wa kujenga hoja kama wapinzani wanavyofanya. Wananchi wamehoji kwanini habari za Nape...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Nape Nnauye kasambaratisha ngome ya Chadema Mafinga Mjini na Wanachama wa Chadema wamesema wamechonga kuwepo kwenye Chama cha Kikabila na kinachoendeshwa na watu kadhaa utadhani chama ni chao na...
2 Reactions
68 Replies
6K Views
Naomba kuwasilisha hoja binafsi ya kutaka Serikali ya Muungano wa Tanzania ivunjwe ili kuunda Serikali ya mpito ya Tanganyika. Je wewe unasemaje ?
1 Reactions
0 Replies
732 Views
Mchakato unaoendelea sasa wa kutoa maoni ya nini kiwemo ndani ya Katiba Mpya ufanywe kwa kuzingatia uwiano wa walioko mijini na vijijini, na pia uhusishe jamii ambayo kwanza inaifahamu Katiba ni...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
CDM watakuwa na mkutano wa hadhara mkoani Iringa eneo la Kihesa sokoni,mida ya saa tisa alasiri!Viongozi kadhaa wa CHADEMA watakuwepo.Mengi zaidi nitawajuza muda utakapo fika.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Shivji asisitiza umakini uwekezaji wa ardhi Saturday, 16 June 2012 08:53 MWENYEKITI wa Kigoda cha Mwalimu Nyerere kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam,Profesa Issa Shivji...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naombeni kufahamishwa mwenye kujua sababu za ubadilishwaji wa rangi ya bendera ya chadema zaidi ya mara mbili, mara ya kwanza ilikuwa nyeupe na nyeusi,ya pili ikawa ya light bluu na nyeusi na ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
KATIBA ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inaeleza wazi kuwa kila mtu ana haki ya kuishi mahali popote pale anapotaka ili mradi havunji sheria, haki ambayo ombaomba maarufu hapa nchini, mzee...
0 Reactions
39 Replies
9K Views
Naombeni kufahamishwa mwenye kujua sababu za ubadilishwaji wa rangi ya bendera ya chadema zaidi ya mara mbili, mara ya kwanza ilikuwa nyeupe na nyeusi,ya pili ikawa ya light bluu na nyeusi na ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Watanzania tunapenda sana kulalamika na kulaani bila kuchukua hatua.Hatuna courage na audacity ya kwenda step moja mbele na ku act badala ya kulalamika tu miaka nenda miaka nenda rudi. Ukimya na...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Namuona hapa Mwigulu na Lipumba wakiidadavua budget ya 2012/2013,..kwa kuanzia huyu mwana ccm anaitetea kwa nguvu zake zote...anasema baadhi ya wataalam wa uchumi wanaipotosha....ngoja tusubiri...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…