Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ndugu wapendwa, nimelazimika kuuliza swali hili kwa walimu wa SIMANJIRO baada ya kusikia minong'ono mingi sana ili nisikie walimu wanasemaje. Kilio cha walimu wa wilaya ya Simanjiro ambacho...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mimi ninayo mengi lakini hili lifuatalo limeniudhi mpaka nikacheka:- Kwamba miaka ya 70 Benki kuu ilikumbwa na janga la moto, ikadaiwa kiasi kikubwa cha fedha (noti) zimeungua! Uchunguzi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimeshangazwa na style ya uulizaji wa maswali wa huyu mbunge wa Namanyere Mh. Kessy kwenda kwa waziri mkuu kuhusiana na suala la maji. Na vile vile nimeshangazwa na response ya waziri mkuu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Sababu ya hali tete ya nchi na maisha ya wananchi kwenye sekta ya afya ni udhaifu wa serikali na uzembe wa bunge. Rais Jakaya Kikwete ajitokeze alitangazie taifa kuunda tume huru ya kuchunguza...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Mbunge kijana ambae anaonesha kuwa umaarufu na madaraka ya ubunge yamemlevya amefikia hatua ya kumuingia Kikwete binafsi kwa kumwita, kwa kejeli na dharau eti ni "dhaifu". Kwa muono wangu, Mnyika...
5 Reactions
398 Replies
28K Views
Imekuwa ni jambo la kawaida kabisa kila serikali inapopitisha bajeti zake huwakandamiza wananchi.Hakuna siku bajeti ya serikali iliwalenga walalahoi katika kuwakomboa kutokana na uduni wa maisha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wenyeviti watatu kutoka kata nakotoka bi Anna Kilango wamejivua gamba na kuvaa gwanda.. source sunrise fm
5 Reactions
52 Replies
4K Views
Shirikishi la vyama vya wafanyakazi nchini TUCTA limetangaza kuwa kama serikali haitapunguza kodi na kuongeza kima cha chini cha mshahara na kufikia laki 2 watahamasisha mgomo nchi nzima na...
1 Reactions
33 Replies
3K Views
Now that we know the government abducted and attempted to assassinate Dr. Ulimboka what are we going to do? Two legislators, honorable Zitto Kabwe and Mtatiro have not ruled out the possibility...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Madhira yaliyomfika huyu Kijana mpaka sasa ni wale wenye imani kwamba Uhai ni Mali ya Mungu pekee ndio hawawezi kushangaa kwamba huyu kijana yuko hai mpaka sasa. Imekuwa jambo la kawaida kabisa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
huyu kamanda wa Polisi wa kanda Maalum Dsm naye ni fisadi tu. Anaporomosha gorofa pale Ilala makutano ya Pangani na Morogoro Streets karibu na Mahakama ya Mwanzo. Tetesi zilizowahi kuzagaa ni...
2 Reactions
41 Replies
4K Views
Jahkaya alisema ni upepo tu utavuma na utapita na leo hilo linaelekea kudhihirika kwani media zote zimejikita kwenye issue ya mgomo wa madokta na tukio la majasusi ya serekali ya sisiemu kumvamia...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mh pm anataja majina ya wachangiaji wa ofisi yake kwa urefu kwanza anataja majina matatu alafu mtu alipotpka hii inasaidia nini? Je sio mipango maalumu ya kupoteza muda? Toa maoni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Huyu Prof ukimwangalia kwa makini kwenye Mhadhara wa Katiba katika ITV leo anaonekana kuwatetea Wazanzibari badala ya ku-balance mambo: Anadai kwamba eti kuongeza mambo ya Muungano, Wazanzibari...
0 Reactions
57 Replies
6K Views
Jamani, namsikiliza Dr Mary Nagu akitoa hoja yake ya majumuisho ya bajeti ya waziri mkuu. Naona anaongea kwa kutetemeka na anakosea kosea sana kutamka maneno. Kapatwa na nini huyu mama leo...
0 Reactions
29 Replies
5K Views
Kitendo cha kumtaka Waziri Mkuu Pinda ajiuzulu, Mhe. Lissu hakutenda haki. Pinda mara alipoteuliwa tu kuwa waziri Mkuu alijitambulisha kuwa ni mtoto wa mkulima. Kusema hivyo haimaanishi kuwa yeye...
9 Reactions
102 Replies
9K Views
Kama kweli mgomo unakuumiza na umeonea huruma wanao kufa na kuteseka serikali kuisubiri mahakama iamue basi sisi wananchi ndio vyote vitatu serikali bunge na mahakama. Tunaamua kuandamaana kuanzia...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Unyama aliofanyiwa Dr Ulimboka si wa kwanza kutokea ndani ya kipindi kifupi toka mwaka 2010 Itakumbukwa uchaguzi wa Igunga, mwili wa mfuasi mmoja wa CHADEMA ulikutwa porini ukiwa na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tungeomba mwenye taarifa atujuze kuhusu fidia ya kuvunjwa kwa mkataba wa kampuni ya kufua umeme ya DOWANS. Nakumbuka ulijitokeza mjadala mkali na TANESCO wakaenda mahakamani kupinga tozo hiyo. Je...
0 Reactions
1 Replies
909 Views
Tanzania and the act of evils.. - YouTube
0 Reactions
0 Replies
867 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…