Fidia kwa dowans

Rodgers

Senior Member
Nov 25, 2009
138
101
Tungeomba mwenye taarifa atujuze kuhusu fidia ya kuvunjwa kwa mkataba wa kampuni ya kufua umeme ya DOWANS.
Nakumbuka ulijitokeza mjadala mkali na TANESCO wakaenda mahakamani kupinga tozo hiyo. Je wanajamii kuna anayejua imefikia wapi? isije kuwa wamelipana kimya kimya ili kutoamsha hasira za jamii.
 
Back
Top Bottom