Tarehe 04 mwezi wa saba mwaka huu siku ya mashahidi wa afya ya walalahoi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tarehe 04 mwezi wa saba mwaka huu siku ya mashahidi wa afya ya walalahoi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwanaharakatihuru, Jun 29, 2012.

 1. M

  Mwanaharakatihuru JF-Expert Member

  #1
  Jun 29, 2012
  Joined: Mar 21, 2012
  Messages: 479
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kama kweli mgomo unakuumiza na umeonea huruma wanao kufa na kuteseka serikali kuisubiri mahakama iamue basi sisi wananchi ndio vyote vitatu serikali bunge na mahakama. Tunaamua kuandamaana kuanzia ubungo mataa siku ya jumatano asubuhi na wenzetu walalahoi wa mikoani na wenye mapenzi mema mtuunge mkono. Kifo hakina subira na tuandamane tunaweza tunaweza na tunaweza Allah tusaidie Mungu Tusaidie wake watoto na wanaume na tujitokeze piga mbiu watu wanakufa tunakaa tu na tujitokeze
   
 2. M

  Mwanaharakatihuru JF-Expert Member

  #2
  Jun 29, 2012
  Joined: Mar 21, 2012
  Messages: 479
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Sms kwa watu, shiriki maandamano tarehe 04.07 2012 kuwa shaidi wakudai huduma bora ya afya kwa wote njoo ubungo
   
Loading...