Unyama dhidi ya Dr. Ulimboka si wa kwanza kutokea | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Unyama dhidi ya Dr. Ulimboka si wa kwanza kutokea

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mwinukai, Jun 29, 2012.

 1. m

  mwinukai JF-Expert Member

  #1
  Jun 29, 2012
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 1,448
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Unyama aliofanyiwa Dr Ulimboka si wa kwanza kutokea ndani ya kipindi kifupi toka mwaka 2010
  Itakumbukwa uchaguzi wa Igunga, mwili wa mfuasi mmoja wa CHADEMA ulikutwa porini ukiwa na majeraha yaliyotokana na kupigwa. Itakumbukwa pia baada ya Uchaguzi wa Arumeru mauaji ya namna hii pia yalitokea, itakumbukwa pia Unyama waliofanyiwa wabunge wawili wa CHADEMA pale MWANZA, pia yakumbukwe mauaji ya pale Nyamonga Tarime ambapo Polisi baada ya kuua wanatoa kifuta machozi kwa wafiwa na kulazimisha Wafiwa kuchukua maiti.

  Unyama huu ulitokea bila kupewa majibu kamili nani amehusika na amwefanywa nini? hali hii ndio inafanya Serikali isiaminike kwa Wananchi au bila kuuona wauaji /au waliofanya mauaji wakichukuliwa hatua
   
Loading...