RAIS Jakaya Kikwete amezidi kuandamwa. Sasa
anaitwa dhaifu na anayetishwa na wasaidizi
wake.
Mtandao wa WikiLeaks unaoibua taarifa za siri
za kibalozi duniani, umeandika kuwa Rais
Kikwete...
SIRI NZITO YAIBUKA MADAI YA MADEREVA WA WABUNGE ,
ZITTO NA FILIKUNJOMBE WAJITOSA KUWATETEA
SIRI nzito yaibuka sakata ya Madai ya madereva wa wabunge wa bunge la Jamhuri ya muungano wa...
Kwa waliokuwepo ama kufuatilia hotuba ya Hawa Ghasia bungeni leo, huenda wakaungana nami kuishauri serikali kuanzisha kikao maalum cha Bunge kwa ajili ya kupongezana, kupeana pole na kutoa...
WABUNGE 3 (CCM) WALIOISALITI BAJETI YA SERIKALI YAO
KWA MANUFAA YA WAPIGA KURA WAO.
Dalili ya mvua ni mawingu. Inyeshe isinyeshe kutakucha tu. Mwenye masikio haambiwi sikia na mwenye macho...
BAADA YA KUKACHA BAJETI Mbunge CCM apasua jipu *Asema hawezi kufunga mdomo hadi kieleweke *Awataka wabunge wote wamuunge mkono
Na Benedict Kaguo, Dodoma
MBUNGE wa Kisesa, Bw. Luhaga Mpina...
viongozi wa hospitali ya bugando wanaonyesha kuchanganyikiwa na muitikio wa madaktari wa hospitali hiyo kuingia kwenye mgomo.katika hali ya kuchekesha viongozi hao wametoa tamko la kuzuia mgomo na...
Waumini wa dini ya kiislamu wanaendelea kuwashawishi waislamu wote nchini kutoshiriki katika sensa ya tarehe 26/8/2012. Kama hilo litatokea serikali itakuwa imetumia raslimali nyingi bila kupata...
Kwa walifanikiwa angalia bunge.Utaona jinsi gani wabunge wa ccm wanavyokosa lugha nzuri ya kuleza shida zao bila kufanana na CDM.utakuta vituko kama: -kupitisha hoja kwa asilimia 100, 200 n.k...
Mwenyekiti wa CDM ameanika madudu yanayofanywa na mh waziri mkuu Pinda kwa kupitia ofisi zake za halmashauri za wilaya, Kumbe Pinda alitoa maagizo ya kusimamisha chaguzi za serikali za mitaa ili...
" OUR President is important; but, he is not Tanzania. All of our people organaized together are Tanzania"- (Julius Nyerere, Julai 29, 1985)
Ndugu zangu,
Watanzania wengi hatuna mazoea...
Serikali inatakiwa kusikiliza kwa makini maoni ya watu makini na wasio na woga na wawakilishi wa ukweli wa wawatanzania inayowasilishwa sasa hivi bungeni na kiongozi wa kambi ya upinzani Freeman...
Any person with open eyes and rational thinking would be a sincere witness of how CDMs are trying harder to rescue public resources and fight for disciplinary effective use of public assets, funds...
watu wengi wakisema muungano uvunjwe kweny tume ya katiba maana yake katiba na maon yanatolewa hayatahusu tanzania tunayoisemea kwenye maoni hayo maana yake tutahitaji muda mwngine wa kutengeneza...
Mwaka 2010 mgombea wa CCM,licha ya ahadi zilizokuwa katika Ilani yake ya CCM, JK aliahidi mambo mengi kwangu mimi huku Ludewa katika Ziwa Nyasa JK alituahidi Meli lakini mpaka uwezekano wa kupata...
Kamati ya Bunge inapendekeza kuwa sasa hii
Kuna misaada ambayo hutolewa na makampuni huku tukiwaona wakipiga picha magazetini. Mfano ni ile ambayo NMB tunapomuona Shyrose Bhanji akionekana huku...
Inasikitisha sana serikali yetu isiyo makini kiasi kwamba inawachukua medical students wapite mawodini ili public ijue hamna mgomo.Leo muhimbili kazi hamna na wananchi wenyewe watasema hata kama...
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Nape Nauye Muda mfupi baada ya kuwasili jijini Mbeya
Viongozi mbali mbali waliofika pamoja na wanafunzi wa Chuo cha TEKU wakiwa wanasililiza jambo kwa Makini...
Kauli mbiu zinzotumiwa na CCM kwa hakika ni kejeli hii inaamanisha kauli mbiu zimekuwa kinyume na matarajio yake, mfano umo kwa baadhi ya Kauli mbiu zifuatazo :-
UKWELI NA UWAZI hii ni kauli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.