Serikali Itoe Tamko kuhusu Waislamu kugomea Sensa

tatanyengo

JF-Expert Member
Mar 30, 2011
1,134
280
Waumini wa dini ya kiislamu wanaendelea kuwashawishi waislamu wote nchini kutoshiriki katika sensa ya tarehe 26/8/2012. Kama hilo litatokea serikali itakuwa imetumia raslimali nyingi bila kupata matokeo tarajiwa.Nashauri kwamba serikali ikishindwa kwashawishi waislamu kushiriki katika sensa basi waingize kipengele cha dini katika dodoso- ili waismamu washiriki.
 
Back
Top Bottom