Mbunge wangu Mnyika,
Naomba nitangulie kujitambulisha kwamba mimi ni mmoja wa wapiga kura wako, na ninafurahi kwamba kura yangu haikupotea bure. Mimi ni mkazi wa jimbo la Ubungo katika eneo...
Ndugu WanaJF, Nalima pamba kwa nguvu zote baada ya kuambiwa kuwa bei ya pamba itakuwa TZS 1500/-kwa kilo. Zao linastawi, ninakopa kuweka mbolea na dawa kuua wadudu. Pamba yangu inapendeza sana...
Leo kulikuwa na mkutano wa Chadema Mto wa Mbu. Mkutano huo ukihutubiwa na makamamda Nanyaro, Samson Mwigamba, Amani Gulugwa na wengine wengi, umepeleka kilio tena upande wa Magamba aka CCM baada...
Wanabodi.
Watanzania bado wana imani kubwa na Rais Jakaya Kikwete, kuna baadhi ya watu ambao wanaishambulia serikali ya JK kuwa kuna ufajaji wa fedha za umma, ufajaji wa fedha za umma kwa...
Kuna watu kila mara wanapopata fursa ya kufikiria wao hufikiria namna watakavyoshindwa kufikiri. Hali hii imetusababishia kushindwa na kushindwa kwenye sekta mbalimbali, leo hii mtanzania anaweza...
LEO NIMECHAGULIWA KUWA MJUMBE WA KUWAKILISHA WAZAZI WA KATA YANGU KIVUKONI, KWENYE MKUTANO MKUU WA MKOA NA PIA KUWA KATIBU WA ELIMU, MAZINGIRA, NA PIA KATIBU MWENEZI WA KATA YA KIVUKONI, AMBAYO...
WAZIRI MKUU PINDA AMEHUTUBIA BUNGE,,,,,,,,,,,,,, KWELI SERIKALI YA CCM INAFANYA KAZI,IMEINGIZA NCHINI MATREKTA 1800 MAKUBWA NA MADOGO 400,TREKTA LINALOUZWA MILIONI 25.2 SERIKALI IMELIPIA NA...
Akisoma hotuba ya Makadirio ya mapato na matumizi ya ofisi ya Waziri Mkuu, Mh Pinda amelieleza Bunge kuwa Chama cha Jamii (CCJ) kimepata usajiri wa kudumu. Sitta na Nape watakuwa tayari kukilea...
You wont believe me, my grandmother (aged between 80-95 old), living afar interior has sent me the following massage:
"Tumefika hapa kwa sababu ya udhaifu wa Rais Kikwete, kwa uzembe wa Bunge...
Ndugu zangu wanaJF,
Nipo hapo Afrika kusini kwa muda sasa. Huwa najiuliza maswali mengi bila kupata majibu ninapokuwa nakatiza mitaa hasa ya Capetown. Miundo mbinu yao hasa barabara flyovers...
Leo Mh Waziri Mkuu ananguruama naomba uulize Swali jepesi tu- pesa nyingi (kwa bilioni) zilizokuwa ziende katika halmshauri, taasisi na wizara hazikuenda kufuatana na bajeti ya mwaka jana...
Wana jf mnaonaje wabunge wetu nao walipwe kutokana na elimu zao, hapo ndo heshima itarudi, maama hii ya kulipwa mil 10 hata kama ni darasa la 7 ndo kinapelekea hawa wabunge wetu washindwe...
Aidha kwa bahati mbaya au kwa makusudi, Waziri wa Tamisemi ndugu Aggrey Mwanri aliliambia bunge kuhusu mradi wa maji wa Sakare- Bungu umeendelea kutengewa hela na serikali (Gazeti la Mwananchi...
Wanabodi kwa mara ya kwanza tangu CDM ianze kuwa na wabunge imekuwa ikishiriki vizuri katika vikao vya bunge na hasa uchambuzi wa bajeti. lakini mwaka huu imekuwa tofauti na imeonekana kuchuja...
Gazeti moja leo limeripoti kwa urefu maoni ya wabunge hawa wawili machachari, wakitetea madereva wa wabunge walipwe na serikali.
Kwa maoni yangu siwaungi mkono hata kidogo. Ni wakati huu ambapo...
" HEBU TIZAMA TOFAUTI HII YA KUTISHA YA VIWANGO VYA MISHAHARA KWA WATUMISHI WA UMMMA WA TZ! ( AJIRA MPYA CHETI)
MWL 244,400/=
AFYA 472,000/=
KILIMO/MIFUGO 959,400/=
SHERIA 630,000/=...
Kumekuwa na mada mbalimbali kuhusu mapungufu ya kihariri kwenye Bajeti Kivuli ambayo Kambi ya Upinzani iliandaa na kuwasilisha Bungeni.
Kwa niaba ya wenzangu tulikiri mapungufu haya na kuoomba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.