Mgomo wa madaktari:uongozi wa bugando wapata kiwewe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mgomo wa madaktari:uongozi wa bugando wapata kiwewe

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by meningitis, Jun 25, 2012.

 1. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #1
  Jun 25, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,020
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  viongozi wa hospitali ya bugando wanaonyesha kuchanganyikiwa na muitikio wa madaktari wa hospitali hiyo kuingia kwenye mgomo.katika hali ya kuchekesha viongozi hao wametoa tamko la kuzuia mgomo na baadae kupitisha karatasi ili madaktari wasaini na kuonekana wameingia kazini.madaktari wa bugando wamegoma kusaini na hivyo kuwaacha viongozi wa hospitali ya bugando katika hali ya taharuki.inasemekana shinikizo hilo limetoka 'juu'
  kwa kuwa huko juu si mbinguni madaktari hao wameapa kuendelea na mgomo.
   
 2. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #2
  Jun 25, 2012
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,727
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  mpaka kieleweke, sasa dhaifu ndio wa kuondoka magogoni
   
 3. Amiliki

  Amiliki JF-Expert Member

  #3
  Jun 25, 2012
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 2,087
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Hayo ni miongoni mwa yale Maviongozi mapumbafu ambayo CCM imekuwa ikiyatumia kama Mtaji. Haijui hata haki zao. Yamejinyima haki zao na sasa yanataka kuzinyima na haki za wengine waliokwisha amka toka usingizini walipolala wao.
   
 4. N

  Ninaweza JF-Expert Member

  #4
  Jun 25, 2012
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 7,188
  Likes Received: 1,191
  Trophy Points: 280
  Mimi niliye mgonjwa mtarajiwa nawapa go a head dr. Selikali itatupeleka india!
   
 5. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #5
  Jun 25, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,710
  Trophy Points: 280
  Haya yote yanatokana na udhaifu katika utendaji ndani ya nchi yetu!!!!
   
 6. Bagenisb

  Bagenisb Member

  #6
  Jun 25, 2012
  Joined: Feb 4, 2012
  Messages: 46
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Yanatumika kama Condom
   
 7. k

  kitero JF-Expert Member

  #7
  Jun 25, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 563
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi ingekuwa ni Wabunge wanataka madai yao yaboreshwe wangezungushwa kama madaktari au walimu?
   
 8. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #8
  Jun 25, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,020
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  mnazi mmoja kituo cha afya ndani ya mgomo!
   
 9. Laurence

  Laurence JF-Expert Member

  #9
  Jun 25, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 3,106
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Hii nchi Mwalimu akirudi siku moja,Jk na kundi lako mtapata shida siku hyo
   
 10. H

  Hodarism Member

  #10
  Jun 25, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 89
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Yes na sisi tutapandishwa ndege mpaka India.
   
Loading...