Nape Awasilli Mbeya, Agawa kadi za Magamba TEKU na kusakata Kiduku! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nape Awasilli Mbeya, Agawa kadi za Magamba TEKU na kusakata Kiduku!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kiganyi, Jun 25, 2012.

 1. Kiganyi

  Kiganyi JF-Expert Member

  #1
  Jun 25, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 1,244
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
  Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Nape Nauye Muda mfupi baada ya kuwasili jijini Mbeya
  [​IMG]
  Viongozi mbali mbali waliofika pamoja na wanafunzi wa Chuo cha TEKU wakiwa wanasililiza jambo kwa Makini
  [​IMG]
  Wanafunzi wa TEKU wakiwa wanafurahi huku mkutano ukiendelea
  [​IMG]
  Ma Kada mbalimbali wa Chama Cha mapinduzi wakiwa katika mkutano huo
  [​IMG]


  [​IMG]
  Shughuli zinaendelea Mwenyekiti wa Itikadi na Uenezi Nape Nauye akiwa anacheza Muziki pamoja na wanafunzi wa TEKU muda huu

  Zaidi tembelea Wotepamoja online magazine - wotepamoja
   
 2. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #2
  Jun 25, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 548
  Trophy Points: 280
  Huu mkutano unatofauti gani na ule wa NEC?
   
 3. E

  EL MAGNIFICAL JF-Expert Member

  #3
  Jun 25, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 939
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  mwambie tunamkalibisha aje na mwanjelwa.
   
 4. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #4
  Jun 25, 2012
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 395
  Trophy Points: 180
  Anapendezea sana kuwa mcheza shoo wa TOT...
   
 5. T

  The tourist Member

  #5
  Jun 25, 2012
  Joined: May 15, 2011
  Messages: 32
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwambieni aje na huku Arusha. Vipo vyuo vingi tu
   
 6. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #6
  Jun 25, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,778
  Likes Received: 36,760
  Trophy Points: 280
  Wanasherekea nini?

  Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
   
 7. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #7
  Jun 25, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,519
  Likes Received: 10,436
  Trophy Points: 280
  nasikia atatia timu tunduma mwambie aje kwa adabu.! Hii ni boda ya wajanja.
   
 8. B

  Bob G JF Bronze Member

  #8
  Jun 25, 2012
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 2,354
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Hiyo fani ya kukata mauno naona ina mfaa zaidi kuieneza kuliko siasa za maji taka anazosambaza
   
 9. Kiganyi

  Kiganyi JF-Expert Member

  #9
  Jun 25, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 1,244
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Ebana eeh utadhani kikao cha UWT lol....
   
 10. kuku dume

  kuku dume JF-Expert Member

  #10
  Jun 25, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 415
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tunamsubiria st mark(st. augustine-songea)
   
 11. F

  Froida JF-Expert Member

  #11
  Jun 25, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,900
  Likes Received: 1,328
  Trophy Points: 280
  Duuh hiyo sampuli ya makada ndio mimi inaniacha hoi
   
 12. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #12
  Jun 25, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,692
  Likes Received: 12,728
  Trophy Points: 280
  Send off party
   
 13. SILENT WHISPER

  SILENT WHISPER JF-Expert Member

  #13
  Jun 25, 2012
  Joined: Jun 26, 2009
  Messages: 2,231
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  wazee bhaaana..! hawaambiwi kitu mbele ya sisiem!
   
 14. Suzie

  Suzie JF-Expert Member

  #14
  Jun 25, 2012
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 1,264
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Ukitaka subiri tathmini kama ukifanyika uchaguzi serikali za mitaa kati ya ishirini ataambulia miwili. Dhaifu, dhaifu, dhaifu............and the list goes on
   
Loading...