Tujikumbushe ahadi za jk za mwaka 2010 na utekelezaji

mwinukai

JF-Expert Member
May 3, 2011
1,447
630
Mwaka 2010 mgombea wa CCM,licha ya ahadi zilizokuwa katika Ilani yake ya CCM, JK aliahidi mambo mengi kwangu mimi huku Ludewa katika Ziwa Nyasa JK alituahidi Meli lakini mpaka uwezekano wa kupata meli ni kama mbingu na Nchi. Vilevile Gzeti la Mwananchi liliripoti kila ahadi iliyotolewa . WANA JF naleta kwenu ili tujikumbushe ahadi za JK(CCM) na utekelezaji wake akiwa anakaribia nusu ya uongozi wake?

KARIBUNI
 
let the past rest in peace,
yani kujikumbusha izo ahadi inauma sawa na kujikumbusha jinsi ulivomfumania mkeo
 
Back
Top Bottom