Mbowe aanika madudu ya ofisi ya Pinda. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbowe aanika madudu ya ofisi ya Pinda.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ras Cutty, Jun 25, 2012.

 1. Ras Cutty

  Ras Cutty Member

  #1
  Jun 25, 2012
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 42
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Mwenyekiti wa CDM ameanika madudu yanayofanywa na mh waziri mkuu Pinda kwa kupitia ofisi zake za halmashauri za wilaya, Kumbe Pinda alitoa maagizo ya kusimamisha chaguzi za serikali za mitaa ili kupisha chaguzi za chama cha magamba. Kwa hili inaoyesha ni jinsi gani Magamba wanakiuka katiba na sheria za nchi hii ili kutimiza malengo yao. katika bunge la jioni Mbowe amemtaka Pinda atoe maelezo ya kina juu ya hujuma hii kwa wananchi.

  wadau mmeliona hilo????
   
 2. s

  simon james JF-Expert Member

  #2
  Jun 25, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 283
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Waziri mkuu dhaifu kupita wote ulimwenguni
   
 3. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #3
  Jun 25, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  Mbowe amechana vibaya waziri mkuu, amemtuhumu kwa ofisi yake kutochukua hatua dhidi ya unyanyasaji uliofanywa na wafuasi wa chama cha mapenzi.
  Watu wetu waliuawa katika harakati za kisiasa na wafuasi wa ccm
  Wabunge wetu Kiwia na Machemli walipigwa mapanga na wafuasi wa ccm mbele ya polisi wenye silaha hakuna hatua zilizochukuliwa
  Mwenyekiti wetu Msafiri Mbwambo aliuawa na wafuasi wa ccm katika mazingira ya kisiasa, ofisi ya waziri mkuu haijatoa tamko.
   
 4. M

  Molemo JF-Expert Member

  #4
  Jun 25, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Mungu wangu....Watanzania amkeni
   
 5. s

  simon james JF-Expert Member

  #5
  Jun 25, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 283
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Amezungumzia pia unyanyasaji wanaofanyiwa wanafunzi wa vyuo vikuu wenye itikadi za upinzani. Huku ccm wakiendelea kufungua matawi katika vyuo vikuu.
   
 6. Havizya

  Havizya JF-Expert Member

  #6
  Jun 25, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 1,573
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Pinda dhaifu na aliyemteua ni dhaifu mwenyekiti wa chama dhaifu, anawaongoza wanachama dhaifu.
   
 7. Amiliki

  Amiliki JF-Expert Member

  #7
  Jun 25, 2012
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 2,087
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Baada ya kuchanwa live, mzee wa kulialia akajibu nini?
   
 8. Makene

  Makene JF-Expert Member

  #8
  Jun 25, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,479
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  sina uhakika kama pm ana usingizi au ni dharau hana muda wa kusikiliza hotuba ya Mbowe!
   
 9. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #9
  Jun 25, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,202
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Mbowe anatumia iPad kwi! Kwi! Kwi! Kwi! Kweli ni Noma
   
 10. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #10
  Jun 25, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 0
  Bora ya lowasa huyu Mizengo ni goi goi
   
 11. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #11
  Jun 25, 2012
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 23,675
  Likes Received: 21,903
  Trophy Points: 280
  Mbowe ndugu yangu! hicho ndio Chama Twawala!
   
 12. Jakubumba

  Jakubumba JF-Expert Member

  #12
  Jun 25, 2012
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 1,627
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Haka kanchi
   
 13. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #13
  Jun 25, 2012
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 23,675
  Likes Received: 21,903
  Trophy Points: 280
  Hii ni kuonyesha anakwenda na wakati tulionao. Uliona siku ya Budget waziri kabeba makabrasha ya Budget sanduku zima,mambo yaleyale ya miaka ya 60 na 70.
  Hii inaashiria kuwa viongozi wengine sio wa kizazi hiki chao kishapita.
   
 14. Kurunzi

  Kurunzi JF-Expert Member

  #14
  Jun 25, 2012
  Joined: Jul 31, 2009
  Messages: 4,006
  Likes Received: 328
  Trophy Points: 180
  Kiukweli nimeipenda sana hotuba ya Mbowe, kama tutaipata hapa itakuwa safi wakuu.
   
 15. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #15
  Jun 25, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  kwa ufupi nchi yote ni dhaifu, kwa sababu tusingekua dhaifu leo hii hao viongozi wasingekua madarakani na hii nchi ingekua mbali sana kimaendeleo
   
 16. K

  Kagalala JF-Expert Member

  #16
  Jun 25, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 2,372
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  Tatizo ni kwamba yataishia hapo tu, baada ya kikao cha bunge hakuna kinachotekelezwa. Hicho ndo chama cha Makahaba ninachotuongoza
   
 17. IFUNYA

  IFUNYA JF-Expert Member

  #17
  Jun 25, 2012
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 346
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 45
  Mkuu Mhe. Mbowe asishangaee sana Magamba wanajipanda ili kurudisha imani kwa Watanzania kabla ya chaguzi.
   
 18. Mzizi wa Mbuyu

  Mzizi wa Mbuyu JF-Expert Member

  #18
  Jun 25, 2012
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 5,499
  Likes Received: 1,080
  Trophy Points: 280
  Unachosema ni kweli ndugu.

  Sasa tuseme basi, inatosha,mmetuibia, mmetupuuza na mmetudharau kiasi cha kutosha!
   
 19. Ronal Reagan

  Ronal Reagan JF-Expert Member

  #19
  Jun 25, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,745
  Likes Received: 1,459
  Trophy Points: 280
  Hivi ninyi wenzetu mnaoitetea serikali hii dhalimu na dhaifu sijui mna chuki gani na Tz. Pinda ni mnafiki sana, Kikwete ni dhaifu sana, CCM ni janga la Taifa......na mbaya zaidi wanaamua kulitumia bunge kama sehemu ya kamati ya chama chao kupitisha matakwa yao ya kifisadi
   
 20. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #20
  Jun 25, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,841
  Trophy Points: 280
  Dhaifu
   
Loading...