Serikali isikilize na kujibu hoja zinazotolewa na mbowe sasa hivi bungeni. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Serikali isikilize na kujibu hoja zinazotolewa na mbowe sasa hivi bungeni.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ras Cutty, Jun 25, 2012.

 1. Ras Cutty

  Ras Cutty Member

  #1
  Jun 25, 2012
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 42
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Serikali inatakiwa kusikiliza kwa makini maoni ya watu makini na wasio na woga na wawakilishi wa ukweli wa wawatanzania inayowasilishwa sasa hivi bungeni na kiongozi wa kambi ya upinzani Freeman A. Mbowe. kKwa kweli anaongelea mambo yote amabayo watanzania tunatamani serikali ya ccm iyazungumzie ila kwa kuwa imekuwa kipofu serikali yetu haiyaoni haya.
  Hivyo wadau na hasa vijana tusikilize na kuratibu ndio mtaamini jinsi gani serikali ya magamba ilivyo kiziwi na kupenda siasa chafu. watayakataa na kuyapinga maoni haya.
   
 2. k

  kilikiliani Member

  #2
  Jun 25, 2012
  Joined: Apr 18, 2012
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  anaongea kuhusu nini? Wengine hatuna TV wala Redio kwa muda huu! Tupe hits
   
 3. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #3
  Jun 25, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,692
  Likes Received: 12,734
  Trophy Points: 280
  Mbowe nomaaaaaaaaaaa
   
Loading...