Hivi kazi za wa wakuu wa wilaya ni zipi?

1.Ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi wa CCM wilaya
2.Ni mwenezi wa CCM ktk wilaya husika
3............
 
1.Ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi wa CCM wilaya
2.Ni mwenezi wa CCM ktk wilaya husika
3............
3kuweka jiwe la msingi
4.kualikwa kuwa mgeni rasmi kwenye matukio mbalimbali

ki msingi ni mambi yasiyo na msingi kabisa,ni mwendelezo wa kugandamizana na utawala wa unyonyaji mali za uma ,hebu imagine eti mtu anarecord za uharifu wa kupindukia then anapewa nafasi ya kuwa mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usama.kutakuwa na usalama kweli?????????
 
Mi nina sifa moja na si kazi. Elimu si kigezo kama unabisha muulize yule jamaa aliyepata div zero pale mwakaleli anaenda kuwa bosi wa madegree holders. Na ndo maana naipenda ccm najua hata div zero yangu iko siku tena yaja lzm nitembelee gari lenu, mlipie mafuta, dereva, salary, accomodation, posho, na bado ntawachakachua. teh! teh! teh! usijibu soma halafu kajenge taifa.
 
kufungua semina na kufunga , kukimbiza mwenge ,kazi nyingine sijui kwa sababu akiwa kiunganishi kati ya rais na wilaya yupo mkuu wa mkoa ,na RAS WOTE NI WATEULE WA RAIS .
 
mi sioni wana kazi yoyote ya maana ambayo haiwezi kufanywa na madiwani ni kupoteza tu hela na kupeana kula
 
Ni kazi zote afanyazo mkuu wa mkoa ila yeye zinaishia katika ngazi ya wilaya which means wakati mwingi anakua hana kazi maana zimeshafanywa na mkuu wa mkoa ama mkuu wa mkoa anakuwa hana kazi maana zimeshafanywa na mkuu wa wilaya!!! Hapo ndio uone jinsi serikali ya jk ilivyo dhaifu!
 
Back
Top Bottom