Viongozi wa Juu kupotosha Fedha za Halmashauri ni kwa Manufaa ya Nani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Viongozi wa Juu kupotosha Fedha za Halmashauri ni kwa Manufaa ya Nani?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kanga, Jun 26, 2012.

 1. kanga

  kanga JF-Expert Member

  #1
  Jun 26, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 1,011
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Kumekuwa na upotoshaji wa makusudi na hakika siyo wa bahati mbaya ambao umekuwa ukielezwa na viongozi wakuu wa nchi hii akiwemo Raisi JK na Waziri Mkuu Pinda juu ya kiasi cha fedha kinachoplekwa kwenye Halmashauri zote nchini.Takwimu ambazo viongozi hao wanazotaja wakiwa kwenye majukwaa ni kubwa kwa kiasi kikubwa tofauti na hali halisi.Wamekuwa wakieleza kuwa fedha nyingi za maendeleo au za nchi zimekuwa zikipelekwa kwenye Halmashauri zaidi ya 75% na kwamba zinatafunwa na mchwa wakati siyo kweli kulingana na takwimu zitakavyoonyesha hapo chini.Nimegundua kuwa nia hasa ya viongozi hawa na wafuasi wao ni kupotosha mjadala wa ufisadi wa mali za nchi hii wapi unafanyika kwa kiasi kikubwa.Imebainikwa kuwa ufisadi mkubwa unafanyika kwenye serikali kuu kuliko kwenye serikali za mitaa na kama ambavyo imekwisha bainika.Nashauri wanaharakati na waandishi wa habari wafanye utafiti na uchambuzi wa takwimu kuliko kuimba wimbo wa akina JK na Pinda juu ya upotoshaji wa takwimu hizi.Kwa mujibu wa bajeti ya serikali mwaka 2012/13 na bajeti ya Ofisi ya waziri Mkuu-TAMISEMI, mchanganuo wa percentage wise ni kama ifuatavyo.
  [TABLE="class: MsoNormalTable, width: 464"]
  [TR]
  [TD="width: 164"] [FONT=&quot]Maelezo [/FONT]
  [/TD]
  [TD="width: 16"][/TD]
  [TD="width: 164, colspan: 2"] [FONT=&quot]Bajeti ya Serikali (TZS, Bln) [/FONT]
  [/TD]
  [TD="width: 145"] [FONT=&quot]Bajeti ya Halmashauri (TZS,Bln)[/FONT]
  [/TD]
  [TD="width: 131, colspan: 2"] [FONT=&quot] % ya Bajeti ya Halmashauri dhidi ya Bajeti kuu[/FONT]
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 164"][/TD]
  [TD="width: 16"][/TD]
  [TD="width: 164, colspan: 2"] [FONT=&quot] [/FONT]
  [/TD]
  [TD="width: 145"] [FONT=&quot] [/FONT]
  [/TD]
  [TD="width: 131, colspan: 2"][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 164"] [FONT=&quot] Bajeti kuu [/FONT]
  [/TD]
  [TD="width: 16"][/TD]
  [TD="width: 164, colspan: 2"] [FONT=&quot]15,119.60 [/FONT]
  [/TD]
  [TD="width: 145"] [FONT=&quot]3,279.80 [/FONT]
  [/TD]
  [TD="width: 131, colspan: 2"] [FONT=&quot]22%[/FONT]
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 164"] [FONT=&quot] Matumizi ya kawaida [/FONT]
  [/TD]
  [TD="width: 16"][/TD]
  [TD="width: 164, colspan: 2"] [FONT=&quot]10,591.60 [/FONT]
  [/TD]
  [TD="width: 145"] [FONT=&quot]2,735.60 [/FONT]
  [/TD]
  [TD="width: 131, colspan: 2"] [FONT=&quot]26%[/FONT]
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 164"][/TD]
  [TD="width: 16"][/TD]
  [TD="width: 164, colspan: 2"] [FONT=&quot] [/FONT]
  [/TD]
  [TD="width: 145"] [FONT=&quot] [/FONT]
  [/TD]
  [TD="width: 131, colspan: 2"][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 164"] [FONT=&quot] Bajeti ya Maendeleo [/FONT]
  [/TD]
  [TD="width: 16"][/TD]
  [TD="width: 164, colspan: 2"] [FONT=&quot]4,528.00 [/FONT]
  [/TD]
  [TD="width: 145"] [FONT=&quot]544.20 [/FONT]
  [/TD]
  [TD="width: 131, colspan: 2"] [FONT=&quot]12%[/FONT]
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 164"] [FONT=&quot] Jumla Kuu [/FONT]
  [/TD]
  [TD="width: 16"][/TD]
  [TD="width: 164, colspan: 2"] [FONT=&quot]15,119.60 [/FONT]
  [/TD]
  [TD="width: 145"] [FONT=&quot]3,279.80 [/FONT]
  [/TD]
  [TD="width: 131, colspan: 2"] [FONT=&quot]22%[/FONT]
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 164"][/TD]
  [TD="width: 173, colspan: 2"][/TD]
  [TD="width: 220, colspan: 3"][/TD]
  [TD="width: 63"][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 164"][/TD]
  [TD="width: 16"][/TD]
  [TD="width: 163"][/TD]
  [TD="width: 6"][/TD]
  [TD="width: 149"][/TD]
  [TD="width: 68"][/TD]
  [TD="width: 63"][/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  [FONT=&quot]Note:[/FONT]
  [FONT=&quot]1. [/FONT][FONT=&quot]Kumbuka katika mwaka wa fedha 2011/12 kulikuwa na Halmashauri zaidi ya 134 na mwaka 2012/13 zinafikia Halmashauri 160 ongezeko la Halmashauri 26.[/FONT]
  [FONT=&quot]2. [/FONT][FONT=&quot]Halmashauri ndizo zenye kutoa huduma na kuwajibika moja kwa moja kwa wananchi zaidi ya 75% wananchi wanaishi mashambani .[/FONT]
  [FONT=&quot]3. [/FONT][FONT=&quot]Watumishi wengi wa Serikali wanaangukia katika serikali za Mitaa , walimu pekee wa shule za msingi na Sekondari ni 52% ya watumishi wa Serikali.[/FONT]
  [FONT=&quot]4. [/FONT][FONT=&quot]Huduma za Afya,elimu,kilimo,barabara,maji vijijini zinatolewa na Halmashauri nchini , kupata bajeti kubwa ni stahili ili kuboresha huduma kwa wananchi.[/FONT]
  [FONT=&quot]5. [/FONT][FONT=&quot]Mapato ya Serikali za Mitaa na Halmashauri kwa miaka ijayo itamkwe kwenye katiba ya nchi kama ilivyo nchi nyingine kama UK, Malawi, nk ambapo mapato yote ya Serikali yanabainishwa kwa % kuliko ilvyo katika nchi yetu.Wananchi tushiriki kikamilifu kwenye mchakato wa katiba mpya ili kuwabana mafisadi wanaotumbua fedha za umma kwa kubakiza fedha nyingi kwenye mawizara na kutafunwa na mawaziri na Raisi.[/FONT]
   
Loading...