Bila pesa ya rada neema ya vitabu na madeski isingepatikana.

kitenuly

JF-Expert Member
Apr 1, 2012
336
51
Ni aibu kwa serikali, sababu haikuwa na mkakati wowote wa kutatua tatizo la upatikanaji wa vitabu na madesiki mashuleni kwa nini wazazi na watanzania wote kwa ujumla wasifanye kama madakitari wanavyofanya sasa? sababu serikali imeshindwa kututendea haki, mtu mwingine hawezi kufeel njaa yako, ni juhudi zako zinatakiwa ili utafute lishe, waheshimiwa wako mjengoni w wanaendelea na hotuba na mikakati mingi isiyona utekelezaji, na hii imekuwa ni hisitoria ya bunge,UKWELI NI UHURU, TUAMKE WATZ, COME ON TANZANIAN,
 
Hizo hela za RUSHWA zinagombewa kama mpira wa kona, wakati DR. Slaa anashupalia swala hilo walikuwa wanamuona mzushi, magamba hawana maana
 
Back
Top Bottom