Kikwete kuonana na otomolo......mgomo wa madaktari

sambestman

Member
Jan 2, 2012
38
18
Wadau nimesoma kwenye mitandao kuwa jk ataonana na muigizaji otomolo kutoka nigeria....mimi nadhani kwa hili tishio la mgomo wa madaktari bora anggeonana na madaktari kuliko huyo mwanamama ...wadau mnasemaje???
 
Dont speculate and be judgemental, WAIT till it hapens then we can analyse priorities of this government!!!!!!!!!!! teh teh teh
 
itahuzunisha sana,pia sio jambo la kushangaza bse rais wetu kipengele cha deligation kwenye uongozi wake ni 0 yeye anapenda kushiriki mambo yanayoambatana na raha.
 
Madaktari wenyewe wanakataana na hivi ni sababu gani kumtishia nyau Rais wetu?
Acheni wagome dawa yao.ipo kwani wanaona heri wagonjwa wafe ili matakwa yao yafikiwe
Madaktari tuwasomeshe wenyewe na haohao watuue kisa nyongeza ya posho na gari?
 
Wow nakuombea na wewe uzae mtoto atayetaka kuwa daktari may be you may feel the pinch, endelea kubwabwaja ukiwa nje lakini ungekuwa hata na ndugu daktari wala usingethubutu kuongea haya.
icon8.png
icon8.png
icon9.png
icon9.png

Na hilo waziri wenu alilosema kuwa madaktari wote wanapata grant ya serikali amewapotosha na nyie mnakubali, Hivi unashindwa hata kukumbuka kwanini wanafunzi wa IMTU waligoma walivyoona dola inapanda na ada yao pia imepanda? Kama serikali ingekuwa inalipia ada wao wangewashwa nini? Mbona mnajifanya mna vichwa vya panzi wandugu? Huo ni mfano tu wa kitu ambacho hakijapita hata mwaka, huoni serikali inajikanyaga mwenyewe? Nawe unaunga mkono.......hata hivyo walijua kuna wasahulifu wazuri kama wewe na mpo wengi, THATS POLITICS.
 
Madaktari wenyewe wanakataana na hivi ni sababu gani kumtishia nyau Rais wetu?
Acheni wagome dawa yao.ipo kwani wanaona heri wagonjwa wafe ili matakwa yao yafikiwe
Madaktari tuwasomeshe wenyewe na haohao watuue kisa nyongeza ya posho na gari?
Umemsomesha nani paka wewe,hivi unajuwa hata ada ya daktari usinitafutie ban,madai ya daktari sio magari fikiria kwa makini
 
Back
Top Bottom