DALLAI LAMA
JF-Expert Member
- Jan 31, 2012
- 8,651
- 2,627
Nimezaliwa ktk kata hii ya moshono yenye rasilimali nyingi hasa mauzo ya moram na kokoto na katu hajapata kutokea diwani aliyejijengea sympathy kwa wapiga kura toka 2kiwa halmashauri ya Arumeru mpaka 2livyohamishiwa jiji. DIWANI aliyepo sasa Mr Paul Mattyssen wa CCM aliyepewa kura za kuaminiwa kama JK MWAKA 2005 haonekani na amekuwa majuto kwa wapiga kura.
Ameahidi kutatua kero za maji hasa kuchimba visima ila iyo kwetu ishakuwa kitendawili.Tokea mwaka 2010 nlishauriwa na wazee na vijana wenzangu na pia aliyekuwa mgombea wetu wa ubunge ni_ contest mwaka huo nikawapa sababu kuwa bado mdogo, ngoja chama kinilee.SASA NIMEKOMAA NA NATANGAZA KUINGIA KTK KINYANG'ANYIRO CHA 'REFRNDUM'MWAKA 2015.
Nimeanza kukijenga chama kwa kukieneza mtaani na kuendesha midahalo vijiweni ambapo mpaka juzi kwa kushirikisha CHADEMA KATA YA MOSHONO TUMEKABIDHI KADI 7 KWA MABALOZI WA CCM MTAA WA SEKEI MORAM!