Waziri Mwinyi angia mitini kuongelea suala la mgomo Star tv

SirBonge

JF-Expert Member
Jul 18, 2010
378
435
Kipindi cha tuingee asubuhi, waziri Mwinyi ameingia mitini..Je kuna udhuru zaidi ya wananchi kufa?? hawako serious kutatua mgomo huu!

My take:
Bwana Mponda alikuwa akitumia njia hizi hizi kutatua mgogoro huu lakini zilishindikana, Mwinyi kuwa makini!
 
Waziri wa Afya MH.mwinyi ameingia mitini baada ya kualikwa na kukubali na baadaye kuamua kuingia mitini,angalia Star TV muda huu,kipindi tuongee Asubuhi.
 
Angalia star tv Hamisi Kigwangala ndani, waziri wa Afya atoa udhuru, Pauline Gekul (Viti maalum Chadema) ndani
 
Ninaangalia hapa naona madaktari wawili dsm na B.muuza,dodoma kigwangala akitapatapa na pumba nyingi,mwinyi na pinda ilibidi wawepo lakini wanadai wametoa hudhuru mi nahisi wameingia mitina baada ya pinda kupotosha taarifa juu ya madaktari
 
Madaktari wagome tu, HII SERIKALI DHAIFU haitaeleweka machoni mwa raia!
 
naomba wote wanaoshabikia mgomo,ndugu zao wa karibu wapatwe na maradhi mazito na ya aibu ili waonje chungu yake.
 
jambo kubwa kama hili wanatoa udhuru!duh naamini serikali imeachwa na MUNGU!wanashindwa hata kuelewa wafanye nini.poleni ccm
 
Sikuwahi kumsikia pauline Gekul kwenye mijadala kama hii,huyu mama ni makini sana ni tofauti na wabunge wengi wanawake wanaojenga hoja kwa makelele kama Anna Kilango,shelukindo na Asumpta mshama
 
CCM wangemtuma Wassira maana ndiye "mwenye ubia na JK", ili akaitetee serikali dhaifu na kutoa "shule" kwa mujibu wa Nape.

Pinda amepoteza uhalali na heshima yote aliyojejenga katika miaka miwili ya mwanzo ya uwaziri mkuu wake. Muda huu watu tunamwona kama yule chizi Tambwe Hizza. Pinda is continually and systematically lying and cheating in every turn.
 
CCM na serikali yake hawana utaratibu wa kushiriki midahalo kama hii,coz wanajua itawaumbua.Lakini wananchi tunawajibika kuilazimisha serikali kutekeleza majukumu yake kama ilivyoahidi kwenye kampeni.Haya ndio mambo ya msingi ambayo wananchi tunatakiwa kuandamana sio kupokea mafisadi wakirudi majimboni.
 
Kabla ya kuwalaumu madaktari tuilaumu kwanza serekali kwa kupeleka pesa nyingi kwenye posho na matumizi ya kawaida bila kujali afya za wanmanchi wake.
 
Back
Top Bottom