Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

ANNA MAKINDA,STELLA MANYANYA,MWIGULU NCHEMBA,JOB NDUGAI,JESTINA MUHAGAMA NA WENGINE WENYE UNAZI WA CCM TUNATAKA MASLHI YA NCHI KWANZA HATA CCM NA CHADEMA VIKIFA KAMA CCM INAVYOELEKEA KUFA TANZANIA...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Wabunge wengi wa CCM wana hasira sana kwa vile majimbo yao yamepitiwa na M4C na kupoteza Wanachama wengi, Nimesikiliza kwa makini sana hotuba za wabunge wa Lindi na Mtwara, hakika lazima wailaumu...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Iam opposition member but i will vote for him... Gooo makamba 2015!!!!
0 Reactions
37 Replies
3K Views
"Mwisho, Mheshimiwa Spika, Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni inaitaka Serikali iwaeleze Watanzania juu ya hatua, kama zipo, ilizozichukua kuzuia ukiukwaji huu wa Makubaliano ya Muungano, Sheria ya...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Ktk kikao cha bunge kinachoendelea Dodoma leo ni wizara ya mazingira na wizara ya muungano. Cha kushangaza mwenyekiti wa bunge ametangaza kwamba watajadili leo na kuhitimisha leo leo! Je ni sawa...
0 Reactions
0 Replies
807 Views
Jamani ghafla umeme umekatika sekunde chache kabla upinzani kuwasilisha Bajeti ya mambo ya Muungano na Mazingira. Ni ajabu lakini hali hii imetoka. Serikali na TANESCO yao wapumbavu kweli...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
CHADEMA Leo saa nane mchana itafanya mkutano wake Kariakoo sokoni na Afande Lema. M4C at work
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Kazi ya Polisi ni kufukuza na kukamata wezi. Mkuu wa Mkoa na Kamamda Kova wanaposema kwamba kuna madaktari wanawatishia wenzao wanaogoma,hili jambo ni bora lingetamkwa na madaktatri waliotishiwa...
0 Reactions
1 Replies
860 Views
AFYA ya Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madaktari, Dk Steven Ulimboka imeendelea kuimarika baada ya kupata matibabu nchini Afrika Kusini na sasa figo zake zimeanza kufanya kazi.Dk Ulimboka alipelekwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa mara nyingi kumekuwepo kauli za kuwa CCM ijiandae kisaikolojia kuwa Chama cha Upinzani, katika hili Mwigulu ameonesha kwa vitendo kwa vile kila akijichangia katika vikao vya bajeti amekuwa...
7 Reactions
47 Replies
5K Views
Dr deo akamatwe ahojiwe
0 Reactions
1 Replies
1K Views
JAmani kumbe hata wao wenyewe wanajijua kwamba ni wadhaifu? Sasa why wakiwa pale Bungeni wanajifanya wanajua? wakati kwenye Vikao vyao yanakuwa haya; ANAGALIA HAPA...
0 Reactions
0 Replies
948 Views
Niko hapa Temboni Vijana wanajadili siasa zinzoendelea Bungeni, na kusikitishwa sana na kauli za Mabumba aliyoitoa kwa Mnyika, kiasi kwamba wanatumia jina hili katika ubishani kuwa wewe umeongea...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Tanzania imefika sehemu ambao lazima tuiadabishe serikali hii.Tukikaa kimya janjaweed watakuja kwako au ndugu yako.Tushirikiane wote kukemea na kuwatenga hao janjaweed na serikali ya ccm.Matukio...
0 Reactions
4 Replies
885 Views
Katika kuelekea ukombozi nataka kuanda kutabu ambacho kitawaelezea viongozi kuanzia ngazi ya ubunge mpaka urais, kauli tata walizowahi kuzitoa, maamuzi tata waliyowahi kuyatoa, michango yenye...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wamefunikwa, wakakubali na wakasinzia... Wapi Hemed Rashid? Tangia kikao cha bajeti kimeanza sijawahi tena kuwasikia... wapo? Angalau yule jamaa wa Lindi Mjini, na yule mama Viti maalum wa...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Angalia na Uone mwenyewe.. Hivi hapa nani wa Kulaumiwa?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Leo katika kipindi cha asubuhi za Radio One Nipashe kilikuwa kinamuhoji Dr. Bashiri Ally (Mhadhiri wa Chuo Kikuu Cha Dar es salaam – Kitivo cha Siasa) kuhusiana na lengo kuu la vyama vya siasa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nimeshitushwa sana na kauli iliyotolewa na Mwenyekiti wa Bunge, Sylivester Mabumba aliyekuwa akiendesha Bunge jana jioni. Baada ya Mbunge wa Viti Maalumu (CCM) Stella Manyanya kuwatuhumu Chadema...
4 Reactions
31 Replies
3K Views
Wana CDM wenzangu, kufuatia mikutano tuliyofanya wilayani Ngara mwezi Mei 2012; CCM nao wameanza kujipima nguvu kwa kuitisha mikutano ya hadhara. ili kukwepa aibu, jana CCM iliitisha mkutano wa...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…