Rais dhaifu(dhaifu HQ) plus dikteta = Nchi imemshinda, analazimisha, Je ataweza? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rais dhaifu(dhaifu HQ) plus dikteta = Nchi imemshinda, analazimisha, Je ataweza?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by NtakuwaSikuchukui, Jun 29, 2012.

 1. NtakuwaSikuchukui

  NtakuwaSikuchukui Member

  #1
  Jun 29, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kutoka Usalama wa Taifa
  Taifa hodari, la kishujaa na Lililoweka mbali Uoga.


  Natoa pole sana kwa Dr. Steven Ulimboka pamoja na familia yake, Mungu atamsaidia, tupo pamoja tukimuombea.


  Hakika nimeamini upande wa pili wa Jk na serikali yake anayoiita “sikivu” si kweli, bali ni serikali ya kidteta,full mabavu upende usipende ikulu atoki Mtu. Nimesikitishwa sana na kitendo cha kinyama/kikatili alichofanyiwa Dr. Steven Ulimboka, eti hakuweza kukubali kuwasiliti madktari wenzake kwa kwenda kwenye vyombo vya habari TBC/Clouds tv(hizi ni ofisi ndogo ya ccm) atangaze mgomo umesitishwa. Kwa sababu hiyo amepigwa kipigo cha kufa mtu.

  Madai ya madktari ni ya msingi na ya haki kwao na Taifa lote, si kama ivumishwavyo na vyombo vya habari eti madaktari wanadai mishahara mizuri na posho,si kweli, bali yapo mambo ya msingi na muhimu kwa afya za watazania madktari hawa wanadai. Kubwa ni mazingira mazuri ya utoaji huduma, ambapo miaka 50 ya uhuru bado hospitali kuu na nyinginezo, madktari wanatoa huduma kwa wagonjwa katika mazingira hatari/mabaya, uhaba mkubwa wa vifaaa vya afya, vitanda vichache, n.k. Mimi nimepata kushuhudia hali hii siku chache kabla ya mgomo, nilipoenda Mwihimbili wodi ya mwaisela na kujionea utitiri wa wagonjwa wakiwa wamelazwa chini, vitanda vichache, inatisha! Hospitali kuu ya rufaa wagonjwa wanalala chini!!!!!? miaka 50 ya uhuru!!!!? barabara kila mahali zinajengwa!!!? Afya za watanzania sio muhimu,na vigumu kuombea kura kuliko barabara!!!!!?.

  Laiti kama ungepata neema kuwa rais au waziri mkuu, au gavana wa BOT au Mkurugenzi mkuu wa TRA, moja ya nafasi hizi, hakika ungedhibitisha Tanzania ni nchi tajiri, top 5 in Africa. Kwa nini nasema hivi, nafasi hizi zinakupa kujua Uhalisi wa mapato na matumizi ya Taifa, yaani hakuna utachoweza kudanganywa bali wewe ndo uwadanganye watanzania. Mapato halisi ni makubwa sana sana, sehemu ya mapato hiyo inaenda kwenye mtandao wa watu wachache, pamoja na chama chao, na kisha watanzania wanasomewa figure za makaratasi kuwa mapato ya Taifa ni haya tirioni kadhaa, ambazo ni kidogo kuliko matumizi ya serikali, hivyo Tanzania ni masikini. Shame upon JK(dhaifu HQ) mad dog!

  Madkari na walimu, taaluma hizi ni muhimu mahali popote duniani, nchi nyingi duniani zimetengeza mazingira mazuri ya ufanyaji kazi na kuwapa mishahara mizuri walimu na madktari. Lakini sio Tanzania kwa miaka 50 ya uhuru sasa, hali ni mbaya kwa kundi ili.

  MADTARI NA WALIMU HUU NI WAKATI WENU MZURI ULIOKUBALIKA NA MUNGU,KUDAI HAKI ZENU KWA MASLAHI YA TAIFA, PESA IPO . TAFADHALI SHIKAMANENI MUIKOMBOE NCHI, WANANCHI TUPO NYUMA YENU, HUU NI UKOMBOZI WETU WOTE.

  Rais dhaifu(dhaifu HQ) plus dikteta = Nchi imemshinda, analazimisha,je ataweza?
  Jibu : hawezi, wananchi wa Tanzania ni nguvu kubwa, uwoga umekwisha sasa.

  Wewe unasemaje?????

  **************************************************************************

  Mwisho wito wangu: VIONGOZI WALIO SERIKALINI KAMA WANAENDELEA FUNGA MACHO, WAJUE WATANZANIA WAMEBAKIA NA SIKU CHACHE UKIMYA WAO UTAFIKA MWISHO, MABOMO YA MACHOZI, POLISI NA JESHI HAVITAWEZA SAIDIA LOLOTE KAMA TUNAVYOONA SYRIA,LIBYA N.K

  RAIS ASIDHANI KAMA ILIVYOKAWAIDA YAKE ATATUMIA PUNDA WAKE(NDEGE) KUKIMBIA NA FAMILIA YAKE.YEYE NA SISI,SISI NA YEYE,AKIMBII MTU,ATOKI MTU……..NGUMI JIWE ASUBUHI HADI USIKU.
  Kutoka Usalama wa Taifa,
  Taifa hodari, la kishujaa na Lililoweka mbali Uoga.
   

  Attached Files:

 2. H

  Honolulu JF-Expert Member

  #2
  Jun 29, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 5,654
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Watanzania msilalamike! Kiini cha udhaifu wa serikali ni nyie wenyewe! Mnapiga kura kama vipofu na kisha mnalalama kama vichaa! Acheni serikali mliyoipa kura ifanye kazi!! Tulieni mshikishwe adabu hadi hapo mtakapopata akili na mang'amuzi hapo 2015
   
 3. georgeallen

  georgeallen JF-Expert Member

  #3
  Jun 29, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 3,758
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Hapo mzee umesema kweli tupu, watanzania ni wanafafiki wakubwa. hakuna aliyewalazimisha kuiweka ccm madarakani achilia mbali huyo JK, na pamoja na malalamiko yote haya bado 2015 watu hawa hawa wataipigia tena kura CCM ili irudi tena kuongoza nchi hii. Nasema hivi: 2015 bado mbali, yaani watalalamika saaanaaaaa!!!!!.
   
Loading...