Nimeandamana mwenyewe mpaka kwenye geti la ikulu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimeandamana mwenyewe mpaka kwenye geti la ikulu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwanaharakatihuru, Jun 28, 2012.

 1. M

  Mwanaharakatihuru JF-Expert Member

  #1
  Jun 28, 2012
  Joined: Mar 21, 2012
  Messages: 479
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kweli wana JF mmeniangusha yaani hata mtu mmoja hajafika kwenye maandamano??? nafikiri ni vyema sasa tusahau mabadiliko katika hiki kizazi cha kunguru tusubiria machungu yatikise nyongo zetu. labda wana wa wanetu watatusaidia. Upepo tu................. Ulimboka kupona ni kudra za Mungu amefanyiwa kama gadaffi.
   
 2. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #2
  Jun 28, 2012
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Hahah pole siku nyingine lala barabarani bwana huna haja ya kutoka jasho hado Ikulu. Haha weka Bango lako lala Barabarani magari yasipite. !

  Nakutania mwayego. Ni kweli bwana mabadiliko yanatakiwa kuletwa na wananchi wenyewe si wanasiasa
   
 3. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #3
  Jun 28, 2012
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,200
  Likes Received: 714
  Trophy Points: 280
  acha fix mkuu
   
 4. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #4
  Jun 28, 2012
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Hahahah Edson kwani we mlinzi wa gate lile unataka kusema hukumwona? lol
   
 5. K

  KIDUNDULIMA JF-Expert Member

  #5
  Jun 28, 2012
  Joined: Aug 18, 2010
  Messages: 773
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  ushahidi gani ulionao ya kuwa uliandamana peke yako?
   
 6. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #6
  Jun 28, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Huna kazi ya kufanya????....na kwataarifa yako utaanza kufa wewe kabla Dr. Ulimboka hajakufa!.....toka jana unamzushia kifo Dr......mtu mzima huna akili kabisa kilaza wewe!
   
 7. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #7
  Jun 28, 2012
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Wa TZ ni wanfiki na wa binafsi siku ingine andamana kwenye mtandao la sivyo tutakukuta au utajikuta alone msitu wa pande.lol!
   
 8. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #8
  Jun 28, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Mimi mbona huwa naandamana mara nyingi tu hadi ikulu,sema huwa nasahau mabango!
   
 9. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #9
  Jun 28, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,896
  Likes Received: 5,356
  Trophy Points: 280
  ungeingia tu ndani,mwenye nyumba dhaifu hadi kutema mate hawezi.
   
 10. Jumakidogo

  Jumakidogo R I P

  #10
  Jun 29, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 1,859
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Nilikuona! Sasa mbona ulikuwa umevaa kimasai, ile ilikuwa na maana gani?
   
Loading...